Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Kama huelewi kinachoendelea go educate yourselfHao wamasai walioenda Kenya, ni sawa sawa maana wamerudi kwao. Wamasai halisi wa Tanzania wengi wameshahama kwa ridhaa yao. Wakenya wenye umasai wa mchongo wanaogopa kwenda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao maana itakuwa rahisi watu kuwagundua, ndo maana wanapambana ili waendelee kubaki hapo hapo karibu na kwao. Mama endelea kuwafinya mapumpu hao wakenya waliojazana katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Fyekelea mbali na mifugo yao ili wakailishie huko huko kwao.
Ni kosa kumnyang'anya mtu ardhi yake. Kwa hiyo serikali ikija kukulawiti utakubali?Mfano uliotoa sio sahihi ni kosa kisheria mambo ya ulawiti, siku zote huwezi kushindana na serikali utaishia kupata matatizo
Mwarabu ni wa mhimu sana ndo maana wakazi wa huko wanavunjwa miguu ili mwarabu aishi. Mnatusumbua sana na hawa waarabu wenu waliotuuza kama kondoo enzi hizo leo mnaumiza watanzania kwa ajili ya mwarabu. Serikali ilikuwa na mpango gani kwa ambao hawakuwa tayari kuhama?Ni Mmasai yupi ardhi yake anayoimiliki kisheria na ana hati miliki lakini imechukuliwa ? Hivi WAKATI nyumba za Watu kimara zilipovunjwa na Watu wakiwa na hati na majengo yao na Mali zao mbona Watu Wa Dar es salaam hawakuua waliokua wanasimamia zoezi la kubomoa . ? Kuna mahakama kama Kuna Mmasai Mali yake imechukuliwa ajitikeze. Ngombe zao zipo na vijumba vyao vipo , Sasa wanachopigania ni kipi? Ardhi ni Mali ya Serikali na hakuna ardhi ya kikabila hapa Tanzania. Kwa Nini iwe ni Kwa Wamasai tu ndio ardhi ni Mali yao ? Mbona Wazigua hawasemi Handeni ni ardhi yao? Tena ni ardhi yenye rutuba sana kuliko haya Hilo jangwa la Loliondo lenye uhaba Wa maji na mvua haba? Kwa Nini Wao wanahamia kila sehemu WAKATI Wa ukame bila kujali Kuwa Huko nako Kuna Watu Wa asili zao. ? Tukiendekeza mfumo Wa kikabila tutaanza kubaguana ?Ndio maana será za majimbo zinaogopwa Kwa sababu ya makabila makorofi yasiyotaka kuchangamana na Watu wengine.
Haikubaliki kabisa kuzuia zoezi la kuweka mipaka ya ardhi Kwa sababu ya kuogopa fujo za Wamasai kutoka Kenya. Eakijaribu Tena kuua askari Wetu kwenye ardhi ya Tanzania wajiandae kulazwa haya Elfu Moja. Tukiruhusu Wamasai kutumia mishale kupambana na Serikali basi tutakua tumeruhusu uasi katika nchi. Serikali unawabeba sana Wamasai lakini ni Watu wabinafsi wasio na shukrani . Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali Kwa ajili ya Wananchi wote.
Hata Huyo Muarabu Wa Loliondondo akae kistarabu ipo Siku tutamrudisha kwao mikono mitupu kama atajifanya Kuwa ameiweka Serikali mfukoni .
We endelea kutumiwa na mabwana zako wa Kenya ila ukweli ndio huo. Hakuna tena shamba la bibi kupitia wamasai wa mchongo.Kama huelewi kinachoendelea go educate yourself
Aiseeee !!Kassimu uwongo kazoea toka mdogo,ila jumba bovu litampata macho kumchuzi ndio kauza kama mwinyi alivyouza mwaka 1992View attachment 2259758
Wasted sperm [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Fyeka hao majambazi walioua polisi wetu..
Waleteni wengine mtawarudisha kwenye majeneza
Watu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
IdiotIna mana walsema Tanga mbali bora wakatie huruma Kenya au hamjawauliza!?
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Watu wanashitakiana na serikali na kushinda we unaropoka pumba gani humu? Hili lingefanyika wakati wa jpm ungemuona jpm mtesi sana kima wewe sa hivi unatetea eti wamasai wauawe tu.Uovu gani? Unaelewa maana ya serikali? Unaweza shindana na Serikali?
Wasted spermHao wamasai walioenda Kenya, ni sawa sawa maana wamerudi kwao. Wamasai halisi wa Tanzania wengi wameshahama kwa ridhaa yao. Wakenya wenye umasai wa mchongo wanaogopa kwenda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao maana itakuwa rahisi watu kuwagundua, ndo maana wanapambana ili waendelee kubaki hapo hapo karibu na kwao. Mama endelea kuwafinya mapumpu hao wakenya waliojazana katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Fyekelea mbali na mifugo yao ili wakailishie huko huko kwao.
Acha wivu gambaHao masai watakuwa sukuma gang maana sisi tunapumua,,
Alisikika taahira sexless na sukule mmawia yakifanya uchawa kwa mama. View attachment 2259803
Kiuhalisia sa hivi lijamaa ni kama kopo hivi. Haliongei bali linaropoka tu hata bila kuangalia ubinadamu.Mbele za huyu dada mzururaji akili huwa zinakutoka kabisa, hii comment ulivyoiandika ni kama vile hautawahi kuwa kwenye jeneza.😄
Unafungua inchi kwa kwenda omani na dubai natamani Mungu awape vongozi wote wanafiki ugonjwa wa bawasiri mkione cha moto
Kama una hoja zungumza mkuu. Mm sio CCM wala CHADEMA nahitaji uweke mezani unachowaza tukichekeche Kwa pamoja. Usisindikizwe na Chama mkuu [emoji120]. TiririkaIdiot