Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Hao wamasai walioenda Kenya, ni sawa sawa maana wamerudi kwao. Wamasai halisi wa Tanzania wengi wameshahama kwa ridhaa yao. Wakenya wenye umasai wa mchongo wanaogopa kwenda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao maana itakuwa rahisi watu kuwagundua, ndo maana wanapambana ili waendelee kubaki hapo hapo karibu na kwao. Mama endelea kuwafinya mapumpu hao wakenya waliojazana katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Fyekelea mbali na mifugo yao ili wakailishie huko huko kwao.
Kama huelewi kinachoendelea go educate yourself
 
Mfano uliotoa sio sahihi ni kosa kisheria mambo ya ulawiti, siku zote huwezi kushindana na serikali utaishia kupata matatizo
Ni kosa kumnyang'anya mtu ardhi yake. Kwa hiyo serikali ikija kukulawiti utakubali?
 
Ni Mmasai yupi ardhi yake anayoimiliki kisheria na ana hati miliki lakini imechukuliwa ? Hivi WAKATI nyumba za Watu kimara zilipovunjwa na Watu wakiwa na hati na majengo yao na Mali zao mbona Watu Wa Dar es salaam hawakuua waliokua wanasimamia zoezi la kubomoa . ? Kuna mahakama kama Kuna Mmasai Mali yake imechukuliwa ajitikeze. Ngombe zao zipo na vijumba vyao vipo , Sasa wanachopigania ni kipi? Ardhi ni Mali ya Serikali na hakuna ardhi ya kikabila hapa Tanzania. Kwa Nini iwe ni Kwa Wamasai tu ndio ardhi ni Mali yao ? Mbona Wazigua hawasemi Handeni ni ardhi yao? Tena ni ardhi yenye rutuba sana kuliko haya Hilo jangwa la Loliondo lenye uhaba Wa maji na mvua haba? Kwa Nini Wao wanahamia kila sehemu WAKATI Wa ukame bila kujali Kuwa Huko nako Kuna Watu Wa asili zao. ? Tukiendekeza mfumo Wa kikabila tutaanza kubaguana ?Ndio maana será za majimbo zinaogopwa Kwa sababu ya makabila makorofi yasiyotaka kuchangamana na Watu wengine.

Haikubaliki kabisa kuzuia zoezi la kuweka mipaka ya ardhi Kwa sababu ya kuogopa fujo za Wamasai kutoka Kenya. Eakijaribu Tena kuua askari Wetu kwenye ardhi ya Tanzania wajiandae kulazwa haya Elfu Moja. Tukiruhusu Wamasai kutumia mishale kupambana na Serikali basi tutakua tumeruhusu uasi katika nchi. Serikali unawabeba sana Wamasai lakini ni Watu wabinafsi wasio na shukrani . Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali Kwa ajili ya Wananchi wote.
Hata Huyo Muarabu Wa Loliondondo akae kistarabu ipo Siku tutamrudisha kwao mikono mitupu kama atajifanya Kuwa ameiweka Serikali mfukoni .
Mwarabu ni wa mhimu sana ndo maana wakazi wa huko wanavunjwa miguu ili mwarabu aishi. Mnatusumbua sana na hawa waarabu wenu waliotuuza kama kondoo enzi hizo leo mnaumiza watanzania kwa ajili ya mwarabu. Serikali ilikuwa na mpango gani kwa ambao hawakuwa tayari kuhama?
 
Watu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
20220613_230406.jpg
 
Naona makampuni ya Utalii yatoa donations.....watu watakesha kuandika Proposal.....indirect opportunities
 
Hao wamasai walioenda Kenya, ni sawa sawa maana wamerudi kwao. Wamasai halisi wa Tanzania wengi wameshahama kwa ridhaa yao. Wakenya wenye umasai wa mchongo wanaogopa kwenda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao maana itakuwa rahisi watu kuwagundua, ndo maana wanapambana ili waendelee kubaki hapo hapo karibu na kwao. Mama endelea kuwafinya mapumpu hao wakenya waliojazana katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Fyekelea mbali na mifugo yao ili wakailishie huko huko kwao.
Wasted sperm
 
Siasa za hovyo kama hizi sio zakupuuzwa,
Hivi kama Loliondo kumechafuka,je wameshindwa kujihifadhi maeneo jirani ndani ya mipaka ya Tanzania ambapo kuko shwari?

Hivi inawezekanaje ukajiita mkimbizi kutoka Tanzania ilihali nchini kwako ni wilaya yako tu kati ya wilaya zote ndio inamachafuko?

Haya mnayoyafanya mnahalalisha kauli ya serikali wanayosema kwamba hii issue inakuzwa.

Wakati fulani unaweza fanya jambo ukifikiri unajenga kumbe unaharibu.
Nashauri tafuteni namma nzuri yakufikisha ujumbe kwani haya maigizo mnayoyafanya yanafanana na mbinu za vijana wa sekondari.
 
Mbele za huyu dada mzururaji akili huwa zinakutoka kabisa, hii comment ulivyoiandika ni kama vile hautawahi kuwa kwenye jeneza.😄
Kiuhalisia sa hivi lijamaa ni kama kopo hivi. Haliongei bali linaropoka tu hata bila kuangalia ubinadamu.
 
Back
Top Bottom