Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Kama huelewi kinachoendelea go educate yourselfHao wamasai walioenda Kenya, ni sawa sawa maana wamerudi kwao. Wamasai halisi wa Tanzania wengi wameshahama kwa ridhaa yao. Wakenya wenye umasai wa mchongo wanaogopa kwenda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao maana itakuwa rahisi watu kuwagundua, ndo maana wanapambana ili waendelee kubaki hapo hapo karibu na kwao. Mama endelea kuwafinya mapumpu hao wakenya waliojazana katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Fyekelea mbali na mifugo yao ili wakailishie huko huko kwao.