Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata ikiwa kweli, Mollel na Lowasa ni wasaka fursa tupuAkili zako zinayumba kama huwezi kuwajua makabila yao hao uliowataja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ikiwa kweli, Mollel na Lowasa ni wasaka fursa tupuAkili zako zinayumba kama huwezi kuwajua makabila yao hao uliowataja.
Kweli tupuKama hadi sasa Mbunge hajatumiwa watu wa kitengo,basi kashapigiwa simu na watu wa chama kumtishia kuhusu ubunge wake,maana chama chake ndio kimefanya sera uvamizi wa Loliondo
Sijui chama kitamwita??Bora kajisemea! Kongole kwake.
Jamaa wanarithishana utadhani hakuna watanzania wengineHilo nadhani ndiyo mojawapo ya kiapo chao hao maccm
Wote hao ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa.Lowassa ni mmeru, na Godwin Mollel ni muarusha, get your facts right.
Sanaa! Ila amani bila haki ni utumwa.Tanzania ni kisiwa cha amani.
Wanaitafuna haswa nchiWao ndiyo wanajiona kuwa ndiyo wenye nchi na mali zote zilizopo hapa nchini.
Nadhani tuingie kwenye 'civil war' kama ilivyokuwa Sudan, Ethiopia, Palestine, ndiyo adabu na heshima vitakuepo
Ni kweli , wapo madaktari wanaowatibuHili swala sasa ni kama kuna picha inanijia kua huenda kuna watu nyuma ya wamasai
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.
Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai
====
Katika Ukurasa wake wa Facebook, Mbunge wa Ngorongoro ameandika hivi:
Kachungulia mkeka wa wananchi 2025Wasiwasi wangu ni huo ubunge jee ataendelea nao au ndiyo atapangiwa majukumu mapya?
But at last...! At least..!Huyu mbunge anaelewa wajibu wake wa kuwatumikia wapiga kura wake, ubunge wa CCM ni kitu kisicho na thamani kwake kama walivyo wapiga kura wake anao wawakilisha bungeni, kongole kwakwe kwa kuyapiga chini ma CCM!