Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Kama hadi sasa Mbunge hajatumiwa watu wa kitengo,basi kashapigiwa simu na watu wa chama kumtishia kuhusu ubunge wake,maana chama chake ndio kimefanya sera uvamizi wa Loliondo
Tusishangae akaambiwa uraia wake unatia mashaka.
 
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.

Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.

Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai

====

Katika Ukurasa wake wa Facebook, Mbunge wa Ngorongoro ameandika hivi:
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF .3.

Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai
[emoji3064][emoji15][emoji848][emoji2827]
 
Huyu mbunge anaelewa wajibu wake wa kuwatumikia wapiga kura wake, ubunge wa CCM ni kitu kisicho na thamani kwake kama walivyo wapiga kura wake anao wawakilisha bungeni, kongole kwakwe kwa kuyapiga chini ma CCM!
But at last...! At least..!
 
Serikali inapotaka kuangamiza Raia wake.

Nani wakuingilia kati??
 
Back
Top Bottom