Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Zitto angalijiunga na CCM wakati huo baada ya kutimuliwa kama mbwa na akina Mbowe, sasa hivi angalikuwa mbali sana kisiasa na kimaisha. Uwaziri hangaliukosa, hata uwaziri mkuu pengine angalikuwa ameukumba. Sasa ona leo anavyopata taabu sana na ubunge 2020 ataambulia kapa!
 
nimecheka bure, yeye mwenyewe anakaa masaki nasikia ndipo amejenga baada ya kutwaa ubunge




namsikiliza sana zito kabwe
 
Nashindwa kuelewa eti CHADEMA hakuna demokrasia!!! labda ni kweli lakini je CCM ndo kuna demokrasia?
 
1998-CCM
2008-Chadema
2018-CCM

Hawa waganga watatufanya vichaa!!
 
MWITARA: Tuna tatizo kubwa sana hapa kwetu! Huko alikokwenda ndiko atahoji Ruzuku, ndiko ataonyeshwa mahesabu ya Ruzuku! Ndiko atahoji , atamhoji Magufuli asiyoyapenda? Rubbish Mwaitara! Nilikuwa na imani na Wakurya kama wakurya, anyway,,,,,
Wewe mchagga acha ujinga wa kutajataja makabila ya watu kwa ujinga wa chama chako!!
 
Sioni ajabu kwani kabla ya kwenda chadema alitokea huko huko

Mkuu umenena vema kabisa Waitara karudiana na Ex wake. Kichefuchefu kirefu sana kuona hali hii inashangiliwa kama vile habari mpya tena ya muujiza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu hawatakuelewa hawa nyumbuzzz subiri mapovu.
 
Kahoji bungeni 1.5bn hakupata jibu na hakukimbia.Kahoji 280m kakosa jibu kakimbia.Twende kazi,kumekucha!!!!!!
 
Mkuu umenena vema kabisa Waitara karudiana na Ex wake. Kichefuchefu kirefu sana kuona hali hii inashangiliwa kama vile habari mpya tena ya muujiza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na mumeo Mbowe je atarudi lini dada yangu?
 
Waliokata tamaa ni viongozi wa CHADEMA au Watanzania? Kwa nini unafikiri this is about viongozi wa CHADEMA?
Watanzania hatujakata tamaa, nchi yetu imestaarabika na namna pekee ya kubadilisha jamii ni kupitia siasa. Sasa kama mpaka leo kuna watu wanapita bila kupingwa kwasababu kamati kuu ya taifa haijateua mgombea wa upinzani wafikiri wananchi tutafanyaje?
 
Mara Nako hakuna wanaume,dogo analialia tuu,aibu,Gentamycene ndo zenu hizi unakatwa govi analialia.Aibuuuuu kwa wanaume wa Mara.
 
Wewe mchagga acha ujinga wa kutajataja makabila ya watu kwa ujinga wa chama chako!!
UCD wote hatuko kama wewe. Mimi siyo Mchaga, Mimi sina chama , CDM siyo chama changu katu. wala CCM siyo chama changu. Naangalia mustakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo. Huyo Polepole ni takataka kama mwitara. msikilize, nitaitoa kila mara inapobidi kuonyesha kuwa ni njaa ndiyo inamsumbua Mwitara na Popole. just listen
 

Attachments

Hiyo siyo dalili nzuri kwa chadema 2020.
Hili swala la ruzuku limekuwa likijadiliwa hapa muda mrefu sana na limewaondoa wengi hapo Chadema lakini wanachama wanaendelea kulifumbia macho tu; litawaondoa wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…