Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Daaa!Siasa inawenyewe,na wenyewe ndio hao,yetu macho na kumwomba Mungu atulinde na kila mvuke wenye madhara toka Kwa wenye siasa yao.
 
Hili swala la ruzuku limekuwa likijadiliwa hapa muda mrefu sana na limewaondoa wengi hapo Chadema lakini wanachama wanaendelea kulifumbia macho tu; litawaondoa wengi sana.
Mkuu umenena vyema,kuna kitu CDM wanapaswa kukiweka sawa kuhusiana na ruzuku
 
Tehetehetehe Sisi Makamanda (Wafia chama) tunasema acha aende tu ni haki yake ya kikatiba na akikerwa huko aende hata TADEA akajaribu bahati yake ya uenyekiti!!!
 
Mungu wabariki wale wote wanaojiuzulu Chadema.
 
Amerudi alikotoka na hiki ni kiashiria cha kutosha kwamba yeye hayupo kwa maslahi ya wananchi bali kwa maslahi yake binafsi.
 
Uwezo wa Mbowe ni mkubwa kuliko mnavyodhani, aliondoka Slaa sembuse huyu na kuondoka kwa mmoja ni mwanzo wa mipango mingine ya chama.
Sasa ulivyo hovyo
umesha sema aliondoka slaa
ajabu unamalizia Akiondoka mmoja
mbona Hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…