Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Naamini hivia sasa ataenda kuhoji matumizi ya ruzuku vizuri pamoja na demokrasia. Wenzake wanateswa wanauawa na bado anaenda kuungana na hao wanatuhumiwa??
Hii ndio inaitwa ngoma droo. Wakati Watawala wakilalamikiwa kuwabambikia kesi na majaribio ya kuua viongozi wa upinzani, viongozi wa upinzani nao wanalalamikiwa kutaka kuwadhuru na kuwamaliza wanaowapinga au kuwa na msimamo tofauti ndani ya upinzani!!!???
 
Huko ni kujitaabisha sana;CHADEMA iko palepale
Iko palepale kivipi wakati wabunge wake na madiwani wake na wabunge wake wanakihama hicho chama kila kukicha. Wanachama wa kawaida ndiyo balaa. Kimebakia Mbeya tu ambako nako sasa mind setting ya wananchi imeanza hatua kwa hatua. Kitabaki na akina Kelwisi tu wasiokuwa na impact ye yote kwenye chama.
 
Hatima ya maisha ya kila mmoja wetu ipo kwenye maamuzi yake, lakini pale ambapo maamuzi hayo hayo yatapelekea kuliingizia taifa hasara kwa mfano kupelekea kurudiwa uchaguzi kwenye jimbo, ifike mahali kama nchi tuweke utaratibu wa kuwataka wale wote wanaochukua maamuzi hayo yatakayopelekea kurejelewa kwa uchaguzi wagharamie chaguzi hizo wao wenyewe. Nasema hivyo kwa sababu gharama za kurudia uchaguzi ni kubwa mno na ni pesa ambazo zingetumika kuwaletea maendeleo wananchi wa sehemu/jimbo husika.
 
Kuna watu wanafiki kama wanasiasa Tanzania kweli? Si angebakia tu ccm toka mwanzo, kwanini atuingize kwenye gharama za uchaguzi mwingine? Kweli tuna hasara nchi hii
 
Kati ya mambo yanayonishangaza, ni hili la wana CCM kuona kuwa wamepata golden chance kwa wapinzani kuhamia kwao, sasa let's move to the point.
Nyie mnaoenda CCM, mbona mmechelewa mno?
Hameni wote, Hakuna atakayewauliza ,hata Kama Mbowe naye aende zake huko kwenu sisi hatujali.
You're cheating yourself that opposition is nearly coming to an end, opposition will never cease but will prevail .
Upinzani hautokani na watu wanao wanaokimbia kimbia huko na kule bali kutoka mioyoni mwao.
Narudia tena, mnaoenda CCM nendeni haraka kwanza mlichelewa, nendeni ili nasi tupate wasaa mzuri, wa kujenga chama chetu.
 
Mara zote huwa tunasema hapa kuwa kuna matumizi Mabaya ya ruzuku hapo Chadema mnapinga; ngoja muendelee kuaibishwa. Hilo limewatoa na litaendelea kuwatoa wengi.
Wacha hizo wewe, Nchi hii siyo ya wajinga kama mnavyodhani, zama hizo zishapita.

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Duuuh tusubir habr kamili

Huyu Waitara analake jambo, Chadema itakuwa imara zaidi na zaidi kama amehoji milion 237 Chadema je atakuwa na ubavu kuhoji mamilioni ya fedha CCM? mfano mdogo tu, kuna ile hela ya 1.5 ambayo mkaguzi wa hesabu za serikali alizigundua hazikuonekana matumizi yake ndani ya ccm vipi Waitara ataenda kulishughulikia hili CCM?

Nadhan sasa umefika wakati yale mapandikizi ya CCM yote kuja zake juu ili wabaki ambao ni imara zaidi katika Chama.
 
Brother Zito huu ni uchochezi,ndugu yangu,una uhakika?,Tafadhali mdogo wangu,let the sleeping dog lie,usiliamshe dude,tusije tukakupoteza kama wengine,waliopotezwa,we need you bro,yajayo ya nchi hii wala hayafurahishi
 
Upinzani wa bongo, Siasa za bongo


Hivi vyama picha kama ZANU pf ,ANC ,FRELIMO wansiasa kama hizi za kwetu? Mbona kila siku namuona Julius malema akihoji mambo mengi na ndlozi Wote hawa wa EFF lkn sijaskia wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…