Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
uzuri chadema watachagua mwingine wa kureplace hiyo nafasi,
 
Bado raia wana imani na Mbowe, Mbowe&co anatumia wingi wa wajinga wa Ufipa kupiga hela za ruzuku...

Hapa wenye akili wamesha washtukizia wanaanza kukikimbia chama
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
 
Atakuwa anamfuata Kafulila kule Mbeya. Uzuri ni kuwa Kafulila na Jessica hawako kabisa CCM na hawatakaa wawe wana CCM. Subirini hiyo ajira mliyompa iishe ndipo mtamjua mwana CCM wa kweli ni yupi.
 
Anawakilisha jimbo gani kwa maana alichaguliwa na watu wa jimbo gani? Kama hana jimbo analowakilisha basi anajiwakilisha mwenyewe na ndio maana anaondoka mwenyewe! Ataiimuza familia yake na sio wananchi!
 
Huyo Polepole amesomea Ugavi na manunuzi?
Mbona kila siku anafanya inventory ya watu??
 
Anawakilisha jimbo gani kwa maana alichaguliwa na watu wa jimbo gani? Kama hana jimbo analowakilisha basi anajiwakilisha mwenyewe na ndio maana anaondoka mwenyewe! Ataiimuza familia yake na sio wananchi!
Anawakilisha chama cha Chadema!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…