Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,448
- 10,765
Yule mzee alikuwa mjinga sana...nilishawahi kukutana nae anauswahili wa kishenzi sana alichotaka kitokee ni kumdhalilisha mtoto wake. Kamlazimisha mtoto wake kujenga msikiti baada ya kuishi maisha mazuri. Haya aende peponi sasa, Waafrika tu wajinga sana linapokuja suala la imani za watu weupe. Huyu mzee kajitakia mwenyewe.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Mama mmoja alifariki na ana mashamba ya kutosha eneo alilopo ila akazikwa makaburi ya uma, changanyikeni. Yale makaburi unaweza kutana na mifupa, fuvu unaisogeza ili space ipatikane.Elewa mada,ishi kulinganana hadhi yako,sasa watu wamekuja msibani hakuna hata pa kufunga hema
Kange hivi kuna ushuani mkuu?Mimi huko osterbay ,mbezi beach hata kule Mbweni siwezi kuishi iko wazi ,nitakuwa mpweke sana ...Nyumba yangu ina geti ila najiona kama Mbwa ...Nimehama uswqzi muda ila naishi kange ushuani ,liufupi nimekuwa mnyonge sana bora ya uswqzi.
Wazee wengine hawapendi kuhama, ila wanawe wakijipata na wakagoma kuhama basi wao hujaribu kununua sehemu kadhaa za majirani ili kupata angalau kasehemu kadogo ka kuweka parking na kauwazi ka shughuli mbili tatuMbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Mbona Mbwana alisema mzee wake alikua polisiIla unabidi kujua Mzee Samatta (Baba)
Alikuwa mchezaji Mkubwa Tanzania amekaa UK , America n.k
Sifikirii Kama yeye mwenyewe angeamua kuhama hapo Mbagala angeshindwa.
Na pia Familia ya Samatta sio familia ya kimasikini ina watu wanaojielewa na baadhi wamesoma wapo wanajeshi , walimu n.k
Kwahiyo usiongee Sana Mambo ambayo hauyafahamu. Hasa mambo ya kifamilia.
Huyu jamaa mdukuzi ni kubwa jinga ni Moja kati ya Wazee wa hovyo hapa Jf , mtu mzima Mzee lakini nyuzi zake za Kipimbi sana hata Maghayo Busu la Kenge na bange zake hawezi kuwa anaandika utumbo kama wa huyo jamaa.Udaku at best; hata undergraduate freshman hawezi kuanzisha thread ya namna hii.
Duuuuh una hoja inayoumiza moyo lakini.. Acha tuvumilieMbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Sasa wewe nae jaribu kuwa na akili basi sasa samia na msiba wapi na wapiMama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
Alisha hama mda tyuh, 😂😂😂Mbona unadanganya umma, Wema si anaishi huko Mbagala baada ya kususwa na wanaume wa kumuweka mjini?
Msiba na kwenda kuzika ni Ibada nenda Ibadani acha kuwekea watu masharti, hapafikiki kwa gar nenda kwa mguu acha maneno mengi huwezi usiende.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Bibi angu huyu kabisaa,Kuwahamisha wazee sometimes kuna changamoto sana, kama nyumba aliijenga kwa nguvu zake kumuhamisha hilo eneo ngumu sana.
Nakumbuka tulimjengea bibi yetu nyumba nzuri kubwa, tuliweka maji, umeme na nyumba ipo karibu na huduma za kijamii vizuri. Nia ilikuwa kumsurprise😂😂😂 na yeye akatusurprise.
Simply alisema hii ni nyumba yangu nilijenga na mume wangu na hapa kuna kaburi la mume wangu siwezi ondoka nikamuacha mume wangu.
Wakususa walisusa, wa kuongea waliongea ila mwisho wa siku ilibidi tu tukaboreshe nyumba yake ya mwanzo tu
Zipo nyingi tu ,niko mwisho huku hata nyumba za kuhesabikaKange hivi kuna ushuani mkuu?