Tuwakumbuke wazazi wetu kwa kuboresha makazi yao na kuwapatia msosiHawa mastaa wanaoibuka kutoka umasikini na ufukara wanapoinuka hebu wawe wanabadilisha maeneo ya kuishi au kujenga nyumbani kwao vema. Unakuta star anafiwa huko kwao kijijini mnamsindikiza mnakuta kwao panasikitisha, ni pa hovyo na panatia aibu, hajawajengea wazazi wake ila dar amejenga hekalu la kufuru lina starehe zote
Anatoka kupiga stori wapi mkuu?Watu wanasema eti kukaa ndani ya Fensi ni upweke kumbe ni ugumu wa maisha ndio unawafanya hivyo hivi mtu uwe na uhakika wa Kila kitu upweke unatoka wapi kama stori si unatoka kwenye Fensi unaenda kupiga hizo stori
Huko uswahilini kuna makelele ya bar , mara makelele ya sherehe za hovyo hovyo, miundombinu mibovu,vibaka, yote hayo yasikupe stress eti uje upate stress kwa kuachana na watu uliozoeana nao huku unaishi ushuani. Hakuna hiyo.Watu wanasema eti kukaa ndani ya Fensi ni upweke kumbe ni ugumu wa maisha ndio unawafanya hivyo hivi mtu uwe na uhakika wa Kila kitu upweke unatoka wapi kama stori si unatoka kwenye Fensi unaenda kupiga hizo stori
Huo ni ujinga wa mtu mweusi kuthibitisha unyani wakeAnatoka kupiga stori wapi mkuu?
Kuna baadhi ya wazazi ukitaka kuboresha maisha boresha walipo usiwahamishe mazingira. Huzuiwi kuboresha hali zao. Pia baadhi ya vitu vyako akivikataa usishangae. Anaweza kataa hata aina ya vyakula unavyomnunulia na hutakuwa na la kumfanya
Huyo ni mshirikinaKuna mzazi mmoja kijijini amesomesha watoto wote saba na wana kazi kubwa serikalini. Watoto walitaka kumjengea nyumba bora yenye hadhi mzazia akakataa kwa kuwaambia atafia kwenye nyumba ya udongo alikowazalia. Alipozeeka sana na kukosa maamuzi sahihi na ni mzee asiyeweza kufanya shughuli yeyote ni wa kulala tu ndio wakamjengea nyumba bora ya kisasa wasije wakaabika siku atakapofariki mzazi wao
Binafsi mbagala ipo kiganjani Kuna sehemu nzurii Sana hapo mbagala rangi 3, kiburugwa, mpaka chamaziii, mpaka mbande / kisewee.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
😔wanaoish mbagala hawana akili…..aaaah jishikilie bhnaMbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Ni nyumbani kwa baba yake. Baba ni vema akakaa kwakeHujajibu hoja,
Alifanyiwa operation ya macho akaona.Bibi angu huyu kabisaa,
Tena aliwachamba wanae, akiwemo na baba
"nyie mmezaliwa wapi? Mmekulia wapi? Leo ndo mnaona hapa hapafai? Kwani niliwaomba mnijengee kwingine? Mbona alipokua baba yenu hakumfanya hivi? Nitoke hapa yeye atanionaje huko aliko? Mniache hapa hapa nitaishi nilipojenga kwa nguvu zangu na baba yenu."
Walichoka kabisaa, nyumba imegeuka ya familia sasa ile mpya.
😂😂😂😂😂
Kwa habari zilizopo huyo mzee mwenyewe ana nyumba nyingine zaidi ya hiyo aliyokuwa anaishi ila ndio hakutaka kuhamia kwingine. Na wanasema mwanae alikuwa akimwambia kuhusu issue ya nyumba na maboresho anamwambia akajenge na kuboresha misikiti. Akiwa kama mtoto Mbwana angefanyaje zaidi ya kumpa kile mzazi anachotoka?Huo ni ujinga wa mtu mweusi kuthibitisha unyani wake
Hizo habari zilizopo we umezipata wapiKwa habari zilizopo huyo mzee mwenyewe ana nyumba nyingine zaidi ya hiyo aliyokuwa anaishi ila ndio hakutaka kuhamia kwingine. Na wanasema mwanae alikuwa akimwambia kuhusu issue ya nyumba na maboresho anamwambia akajenge na kuboresha misikiti. Akiwa kama mtoto Mbwana angefanyaje zaidi ya kumpa kile mzazi anachotoka?
Dah! Kwa hiyo unataka wote tuwe na vyanzo sawa vya habari? Nachat na shemeji wa Mbwana Samata hapa na yuko hapo msibani ingawa kwa sasa wameenda kuzika kibiti kwa taarifa aliyonipa.Hizo habari zilizopo we umezipata wapi
Mzee ndio aligomaKutakuwa na shida sehemu, au mzee aligoma kuhama, wanasema Mzee alikuwa ni mtu asietaka makuu, Ila kiukweli mazingira yale ukimchukulia na mafanikio ya mshikaji, dah inafikirisha.
Anyway, pumzika kwa amani Mzee wetu.
Sasa huo ndio unyani wa mtu mweusi nilikua na usemaDah! Kwa hiyo unataka wote tuwe na vyanzo sawa vya habari? Nachat na shemeji wa Mbwana Samata hapa na yuko hapo msibani ingawa kwa sasa wameenda kuzika kibiti kwa taarifa aliyonipa.