Wakati Samatta anacheza Mazembe (2011 to 2016) huyo mnaemwita mzee hakuwa mzee na mpunga alio vuna pale Mazembe ungetosha kumuhamishia dingi low density area. Hakujawahi kuwa na maisha mazuri uswahilini hata kama umezaliwa huko.Wazee wengi hawapendi kuhama kwenda mahali ambapo hajapazoea, aanze kutafuta wazee wengine ugenini...Bora atulie uswahilini alikozoea....maisha yetu yanajulikana, hakuna mahali gari inapita kufika nyumbani na nyumbani eneo dogo hakuna Cha kufunga maturubai😄😄 matumizi mazuri ya eneo, hatuishi milele....wake kuomboleza wakae pazuri, wapaki magari vizuri ..haiwezekani
Kuishi mbagala hasa zakheim mmm inahitaji wazoefu wengi wametoka kusini ming'oko kwakwenda mbele, Bora nikapange kinyerezi milimani huko 😀😀😀Tatizo kwetu mbagalaa hapa nyumba kwetu jalalaaa..hiiiiiiihiiii eeehhh..aaaaah..am baaaak ladies...am baaaak...
Kwahiyo kule ni buku buku Tu?Alikuwa anaogopa kunyanduliwa kwa buku buku alizoea wanaume wasiojitambua kumuhonga pesa asizostahili.
naunga mkono hoja kuna mwamba kajenga sehemu bonge ya mjengo, ila waliomzunguka kajamba nani, basi bifu za kipuuzi haziishi japo jamaa anajitahidi sana kuishi nao vzuri, ningekuwa na hela hata mbezi ya kimara siishi naapa.Wako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewi
Kuzungukwa na masikini ni kero sana
Hata angeishi masaki angekufa ila hapa tunajaribu kumoa mtu hadhi yake
Wazee wanahitaji maeneo tulivu wajifika umri wa utu uzima
Mbagala sio sehemu sahihi
Tatizo wazee wanapenda mchanganyiko wa jamii, mfano kucheza bao na kunywa kahawa na kashata huku wakipiga stori. Mzee wa hivyo akifungiwa getini anapata stressUnaliacha tu kama makumbushi unamuhamusha tu kwa kumshawishi
Ujengewe sanamu posta mpya pale,Wakati Samatta anacheza Mazembe (2011 to 2016) huyo mnaemwita mzee hakuwa mzee na mpunga alio vuna pale Mazembe ungetosha kumuhamishia dingi low density area. Hakujawahi kuwa na maisha mazuri uswahilini hata kama umezaliwa huko.
Hao wazee ni ngumu kuwatoa kwenye reli wakishikilia jambo laoYaani bibi angu hataki kusikia habari za maisha mazuri, alikatzwa aache kugema Ulanzi na kuuza,
Akajibu "mlisoma kupitia nini? Mniache na kazi yangu.
😂😂😂😂😂
😀swala sio maisha kuwa magumu au mepesi, ishu ni maziwa tu. Kuhama nyumba uliyoizoea ni kazi ngumu sana😛Wakati Samatta anacheza Mazembe (2011 to 2016) huyo mnaemwita mzee hakuwa mzee na mpunga alio vuna pale Mazembe ungetosha kumuhamishia dingi low density area. Hakujawahi kuwa na maisha mazuri uswahilini hata kama umezaliwa huko.
Poaa akifiaa wapi?Tena ni kama amefia nyumbani. Siyo poa.
Acha fikra potofu kijana, unatumia akili gani hadi kushindwa kutambua maisha yalivyo!!! Ok, umeishi ushuani kama unavyosema, kifo hakikupato??? Sawa, kaburi nalo litakuwa la kishua au??? Acha dharau, mbona mbagala watu wako vizuri tu kimaisha na kiuchumi, mambo ya kitoto usiyatumie ktk maisha, utafeli milele. Kaburi haliangalii uliishi mbagala au ushuani, wote mtaenda mavumbini.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Mkuu elewa kwamba mzee Samata amefariki kwa sababu ya sukari na presha. Kuhamia Ulaya au Masaki sio tiba ya sukari au presha.....bado itakuandama tu. Usipotoshe watu hapa mkuu.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Familia uzi ndo utanielewa. Mimi nimekopi na kupaste kutoka kweny muandish wa uzi na kuongezea kazi kwelikweliAcha dhihaka mkuu kwa hiyo wanaoishi mbagala hawana akili? Nutshel
Mswahili utamjua tu 🤣🤣🤣🤣🤣Kwani lazina kuishi kama maisha fulani🤣🤣 Mbwana kamjengea mzee wake ila msiba umefanyika kwenye nyumba anayomiliki mzee wake ..Hapo ni kwa kina Mbwana alipokulia yeye ,nyumba ya mzee ni private na ishu zote zinafanyika hapo .
Maisha ya kuishi ndani ya fensi kama Mbwa hata mimi yemenishinda kabisa.
Mkuu,Mbwana ana nyumba na apartments sidhani kama swala la kumhamisha mzazi wake ilikuwa shida. Ila mzee akigoma huwezi mlazimisha.
Kuna life wazee wanalichukia kuliishi wanatamani wapate mitaa ambayo wazee wenzao wapo na wanapata fursa za kupiga soga, kucheza bao na draft na siku zikasonga vizuri.
Mzee Kukaa O-Bay ni sawa na kukaa nyumba za wazee Marekani. Changanyikeni kunampa vibe nzuri na kumuondoa msongo wa mawazo ya uzee.