Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana


Kwa hiyo na wewe ukifa kihohehahe tumlaumu Mtoto wako?
 
Suala sio hela wala nini, ishu ni kwamba, kwa nini ukajenge nyumbani kwa mwanaume mwenzio?
Hivi vitu vinataka malezi pia wengi wamekosa malezi ya pamoja kutoka kwa wazazi ndio maana unaona wakitoka home hawakanyagi tena nenda Kilimanjaro uone vijana wanavyojenga nyumba za wazazi wao ndio maana nimesema wengi wenu hela na malezi yamewafanya msione kitu cha muhimu usizunguke huo ndio ukweli..
 
Kuona ni wajibu haimaanishi kwamba ni wajibu. Mazoea ya kijamii yanaweza kulifanya jambo ambalo sio wajibu lionekane ni wajibu.
 
Mkuu Naomba unijibu hapa

Kwa nini nikajenge nyumba ya baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…