Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Haya bado ni masimulizi ya alfu Lela ulela,hakuna facts/data.
Naona misifa TU inatiririka,
Mkapa alifanya hivyo wakati wa Netgroup solution,waliokuja kuongoza tanesco,mkapa aliwaingiza kwa nguvu,mwishowe tulipigwa,mpaka tukashika adabu,mwishowe ikabidi awatimue
 
Waislam mna mpango mbaya na hii nchi yetu TUMESHASTUKA
 
we ajuza umeelaniwa ndiyo maana uliachwa na mumeo sababu ya ujinga wako
Niachwe mimi uumie wewe? majanga! Ahsante na pole sana kwa kunipenda kisi hicho cha jukuumia nikiachwa.

Stahamili dawa ikuingie. Mama anaupiga mwingi.
 
Noma sana, kwa hizi akili tunastahili kutawaliwa. Kawekeza $500m basi sifa kedekede kwa muarabu. Kwamba tulishindwa, kumbe hatuwezi...shame on her!!
 
Miezi mita tu ya utafiti tayari tumeshawapiku Mombasa.

DP World si mchezo.
 
Kwani kuna mwana nchi anae jua makubaliano/mkataba/ memorudum, ya muungano ndo maana tunakua na wa bunge kutuahakilisha sio haki ya kila mwana nchi kujua details za mkataba impossible
Iwe kwa vyoyote itakavyokuwa kero kuu ya bandarini ilikuwa ni utitiri wa garama na Kodi Je! Chini ya DP je! bandari zetu zitakuwa Free port kama Dubai? Kama SIVYO basi hakuna kipya MWANANCHI wa kawaida atafurahia
 
Noma sana, kwa hizi akili tunastahili kutawaliwa. Kawekeza $500m basi sifa kedekede kwa muarabu. Kwamba tulishindwa, kumbe hatuwezi...shame on her!!
Huo ni mwanzo tu. Bashraf tu hiyo.

Usisahau tehama inavyotusumbuwa kusomana miaka yote. mwarubaini wanao sasa.
 
Iwe kwa vyoyote itakavyokuwa kero kuu ya bandarini ilikuwa ni utitiri wa garama na Kodi Je! Chini ya DP je! bandari zetu zitakuwa Free port kama Dubai? Kama SIVYO basi hakuna kipya MWANANCHI wa kawaida atafurahia
Changamkia fursa, ingia hapa:

Akiwa katika shughuli ya kupokea RIPOTI ya CAG na TAKUKURU ,kipenzi mh.Rais SSH alilalama sana juu ya MIFUMO YA TEHAMA kutosomana "vyema" Kati ya TPA na TRA.....

Kumbe MIFUMO haitakiwi kusomana ili "mafisadi" waendelee "kuzoa mipesa" na kulifanya taifa lisisonge mbele.....hatari sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mh.Mbowe ANATUMIKA na akina nani ?!!!

Mh.Mbowe anatumikia maslahi ya akina nani ?!!![emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingii[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio bei tuliyonunuliwa hiyo.
 
Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.

mkuu kwani hiyo bandari si ipo kwa miaka 60 sasa mikononi mwetu mbona tumeshindwa?
 
Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.
Watu milioni 60 kitu gani wewe!Marekani ana watu milioni laki 3 na bandari zake anaendeshewa na kampuni za Uingereza.
 
Hizo zote ni mbwembwe , waulize wataifanya bandari kuwa free port kama Dubai? Maana Sasa hivi magari tunanunua bei rahisi tunakutana na Kodi mara mbili yake. Kama watasema lolote kuhusu hilo nitawasapoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…