Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Umelipwa bei gani Mkuu? Mbona nyuzi nyingi sana za kumpamba huyo mkoloni zimetamalaki?
 
Mtalipa zote! Hawekezi kifala!
 
Tushaumia sana sasa ni wakati wa kufanya biashara za kimataifa, win win situation.
 
Hiyo hela hata mengi angeweza kuwekeza ,Samia ameuza BANDARI Kwa mjomba wake mwarabu
 
Enheee tayari tayarii umeshachanganyikiwa kwa ujinga ulionao [emoji1787][emoji1787]

Unataka uwekezaji gani ?!!![emoji1787]

Bandari limekuwa pango la kutufanya tuwe vichekesho kama taifa..... MIFUMO ya TEHAMA kutosomana ni njia ya "mafisadi wachache"....

Leo anatokea "shetani" na kukuambia kuwa anakwenda kuifanya bandari ituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI ya kila "fiscal year" unaamua kuishia tu kusema "TOKA PEPO TOKA SHETANI PEPOO"?!!![emoji1787][emoji1787]

Utakuwa ni mgonjwa unayestahili matibabu pale "ACUTE" WODI NAMBARI 14 MIREMBE....unakamatwa ,unachomwa sindano ya "modicate" na safari inaanza kukupeleka Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingiiii[emoji7][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umelipwa bei gani Mkuu? Mbona nyuzi nyingi sana za kumpamba huyo mkoloni zimetamalaki?
Tukiongea ukweli unasema ni Msukumo wa malipo....[emoji1787]

Mbowe analipwa na nani kufanya upotoshaji ?!!!

Yuko ulaya huko anaendelea kupotosha...nani wako nyuma yake ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dubai hajawahi kuwa mkoloni, yeye mwenyewe alikuwa koloni.

Jifikirie.
Umesahau Mwarabu ndiye aliyeitawala kwanza Pwani ya Tanganyika kabla ya Mjerumani na Muingereza, kipindi cha Sultan Seyyid Said kutoka Oman?
 
Kumbe FaizaFoxy Ni mzanzibari!!!
Una uhakika gani Kama watawekeza zote hizo? Hivi ninyi wazanzibari hampendi zakwenu zipanuliwe na waarabu? Mbona mnashabikia zetu tu? Nyie hampendi maendeleo?
 
Mmebaki na upotoshaji tu....kweli pumzi INAWAKATA [emoji1787][emoji1787]

Lini mmakunduchi akawa ni mwarabu?!!!

Huna ujualo [emoji1787]

Yaani aliyeitwa "mhadimu" na huyo mwarabu ,leo amekuwa mwarabu ?!!!

Hoja yenu hiyo ni "bigotry" haiwasaidii [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ulipewa macho....lakini huoni......kusoma unajua....lakini huelewi unachokisoma....
 
Hiyo hela hata mengi angeweza kuwekeza ,Samia ameuza BANDARI Kwa mjomba wake mwarabu
Kwanini hakuwekeza?

Si tumewaona TICTS? Miaka zaidi ya 20 wamefanya nini? Watanzania kina Karamagi.

Unataka turukemkojo tukanyage. nya? Mama Samia kalistukia hilo.
 
Kumbe FaizaFoxy Ni mzanzibari!!!
Una uhakika gani Kama watawekeza zote hizo? Hivi ninyi wazanzibari hampendi zakwenu zipanuliwe na waarabu? Mbona mnashabikia zetu tu? Nyie hampendi maendeleo?
Si hoja....

Humu ndani nimebatizwa uzanzibari mimi mnyaki wa Matema Kyela....kwa kuwa tu naelezea mazuri ya awamu hii ya 6....kumbe mnaongozwa na tabia ya "mob psychology" eee?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tukiongea ukweli unasema ni Msukumo wa malipo....[emoji1787]

Mbowe analipwa na nani kufanya upotoshaji ?!!!

Yuko ulaya huko anaendelea kupotosha...nani wako nyuma yake ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nani alikwambia kwamba namuunga mkono Mbowe au mwanasiasa yoyote katika nchi hii.
Falsafa yangu ni kumuunga mkono yoyote ambaye anasimamia maslahi ya Taifa na kumpinga yoyote anayeenda kinyume.
Ninaamini katila hoja, na sio kuwa mshabiki wa mtu fulani au kikundi fulani. Hata wewe ukiongea jambo lenye tija kwa Taifa nitakuunga mkono, ila ukija ukavurunda pia nitakukosoa bila kujali kama nilishawahi kukuunga mkono hapo awali.
Nasimamia ukweli na sio ushabiki au upenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…