Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Hizo ndiyo fikra chanya.
 
Uzeni Bandari yenu. Sisi Watanganyika tumewastukia na hatutaki
 
Tumbili zikisheherekea mwarabu akija kununua bandari.

Hii ni reflection ya akili za babu zetu kuja kutawaliwa Africa, ni jambo linalojirudia, hatubadiliki.

Tusifikiri tunapendwa sana.
 
Mwambie ma-ushungi hatudanganyiki. Hatutaki ubia na waarabu. Ni hatari kwa nchi yetu.
 
Hapo upo na tende unapiga heesabu kwa fedha ambazo hata sio zako.
 
Hofu ni kuongezeka gharama utoa mzigo wako hapo bandari.Je mapato upande wa Serikali.
Waziri Mbarawa kishafafanua hilo, msikilize clip yake imebandikwa juu hapo.

Faida ni nyingi, wanza DP World twywri tehama inayotupa tabu miaka yote wameweka dollar million 500 kuirekebisha haraka sana.
 
Tanganyika tumekataa huo ujinga wenu pelekeni Zanzibar
 
Mwambie ma-ushungi hatudanganyiki. Hatutaki ubia na waarabu. Ni hatari kwa nchi yetu.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa👇🏾

Sheikh Mohammed bin Rashid meets Tanzanian President at Expo 2020 Dubai​

Vice President and Ruler of Dubai and Samia Suluhu Hassan discussed ways to boost co-operation between their countries during talks​






Sheikh Mohammed bin Rashid, Vice President and Ruler of Dubai, meets Tanzanian President Samia... Suluhu Hassan, at Expo 2020 Dubai. All photos: Dubai Media Office


 
Hatuwataki waarabu matapeli wapelekeni huko kwenu Malindi
 
Hao waarabu ni matapeli,Lissu bingwa wa sheria ukanda wa maziwa makuu kawachambua kindaki ndaki.Samia hii dhambi itamuandama daima kuuza mali za Tanganyika.

 
Karibia tutasikia Bahima Empire imeshirikiana na Dubai ili waitwae Bandari yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…