Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Kama ni kweli uyasemayo, pamoja na kwamba siyo mambo mapya sehemu nyingi duniani kwa sasa hivi; basi ni kazi hiyo pekee inawatosha. Waifanye kwa ufanisi.
Haya mengine ya wao ndio wawe kila mahala, na bila kujua kwa muda gani achana nayo.

Tukitaka wafanye na hizo nyingine tutaamua sisi kwa wakati wetu kuwapa wao au tuwape wengine, au tufanye sisi wenyewe.

Katika uliyoeleza hapo kwa mbwembwe ni kama unaamini kuwa wataipeleka mwezini Tanzania kwa uwezo walio nao wao pekee!

Hiyo 500 wamekwambia watawekeza kwa muda gani? Isije ikawa ni matamanio ya miaka 20 ijayo!
 
Udini utamuua huyo ajuza kigagula.
 
Vyanzo vyao vya habari?

Huo uwekezaji kama wana uwezo wa kuufanya bandari ya Dsm nini kimewashinda kufanya nchi nyingine walizofunguliwa kesi za kutosha?

Hizi propaganda za kitoto hazina maana.

Samia ni Shetani.
 
Hakalipwi chochote hako, kanawafanyia bure ndugu zake katika imani.
 

Shida sio hiyo shida iko kwenye ukomo wao wa kufanya hiyo kazi!!
 
Intelegency ya nchi iwe makini wasije ungia na ka link ka KUTOROSHEA FEDHA NJE direct [emoji51][emoji51][emoji51] sijawahi kuuona wema wa waarabu hata siku moja,kwa kuongea utadhani wema kweli.
Mbona GENERALIZATION?!!

Wema kwenye nini ?!!

Kwa hiyo kila mwarabu hawezi kuwa mwema?!!

Kwa hiyo kila mwafrika ni mwema ?!!

Kila mzungu ni mwema?!!!

"Bigotry" tu....

Huu nao ni ujinga ama ni chuki tu....

Dunia ya Sasa unalialia UBAGUZI?!!!

Hebu jitutume kwa ulichonacho..

Usalama wa bandarini USIMAMIZI wake ni wetu.....

#SiempreJMT[emoji120]


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mjadala hasa ni vipengele vinavyotubana kwenye mkataba na siyo kuwakataa DP World ,kuna upotoshaji mkubwa hadi kulifanya hili suala lichukue sura ya udini.
 
Huna jipya wewe kinachokusumbua ni udini; Unajikutaga mwaraaaabu.... Pole lakini ustaazati
 
Mmmh.
Ngoja tuone kama mapato ya TRA Yatazidi au kupungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…