Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Kwani ufanisi ni lazima nchi jirani wakatoe mizigo? shame on you. hujui kama kuna soko la ndani?

Ona mlivyo na mawazo finyu. Mnataka muache wateja wote kisa soko la ndani? mna mizigo mingapi nyie? Wenzenu Kenya wanatoa mizigo ya Rwanda na Uganda ambayo kimsingi ingekua inatokea Dar wewe upo hapa kusema soko la ndani. You know nothing endelea kuimba tunauza nchi.
 
Dollar million 500 Tanganyika hakuna hadi kwenda kumpigia magoti mwarabu?

Huyu mama tangu alipoanza kwenda kwa Oman kuonana na wajomba zaje, nilijua kitakachotokea ni kile kile cha mwinyi na Loliondo.
Hela ndogo sana kwa bandari hizo.

S.S Bakhressa anauza nyumba yake Zanzibar $12 million.

Jay-Z kanunua nyumba California $200 million.

Ukitafuta Watanzania 2000 tu makini wakitoa average ya $250,000 ushapata hiyo $500 million.

Umasikini wetu tu.

Tumeshindwa hata ku list Bandari kwenye stock exchange watu wanunue shares na mtaji ufanye kazi.
 
Dah mpaka hapa nipo confused sijui nini chaku jadili.

Sasa liwalo na liwe
 
Ona mlivyo na mawazo finyu. Mnataka muache wateja wote kisa soko la ndani? mna mizigo mingapi nyie? Wenzenu Kenya wanatoa mizigo ya Rwanda na Uganda ambayo kimsingi ingekua inatokea Dar wewe upo hapa kusema soko la ndani. You know nothing endelea kuimba tunauza nchi.
Wewe dada sijui ni mjamzito ndiyo maana unahasira sn
 
Sema kwa upande mwingine pale kuna wapigaji mno acha tuone mabadiriko ila sio kwa miaka 100
 
Hiyo ndo itakua the second largest investment baada ila bwa la umeme la Ethiopia consumed
$700m. Wengi mtakuja kumuelewa mama wakati kumekucha analo fanya hamna Raisi anae weza kulipinga labda awe mjinga tu.
Natamani uongeze nyama nyama ili kwa slow leaner kama mimi niweze kujua faida/hasara ya hii kitu DPWorld

Binafsi mpaka sasa sijaelewa ni nini hasa. Hivo naomba ufafanuzi kama hutojali

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Around 2.5B USD SIO 7
he project started a decade ago, has cost $5 billion and is now scheduled for completion in 2024. Ethiopia last year completed the controversial second phase of filling the reservoir despite strong opposition from Sudan and Egyp
 
Hajauza bali amewapa. Kinachouzwa si utaambiwa na bei? Waarabu wamepewa bila ya kulipa chochote.
Hawajapewa wala hawajauziwa.

Sema kwa makubaliano ya ki nchi tutegemee mkataba wetu wa ue deshaji bandari na DP World utakuwa ni mwema kuliko ungekuwa wa kibiashara peke yake.
. Mama kaupiga mwingi kwenda kwa wajomba zake.
 
Back
Top Bottom