Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

Kina Mchengeryaaa! ni lini wamekuwa upande wa wananchi zaidi ya kuwa wapambe na chawa wa 100?
 
Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi.
Coz anajua yy pia ni kati ya watu wasiotimiza wajibu kwa wananchi. Atunze kauli yake ipo siku Makonda atakuwa juu yake na atagalagazwa kwenye tope vzr tu kwa kutotimiza wajibu!
 
Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria.
Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi.
Ndio huyu aliyepata ushondi wa asilomia 99.99999999 katika serlikali mitaa?
 
Mchengerwa ana uhalali gani wa kukemea maovu wakati yeye ameshirikiana katika kuiba Uchaguzi?!
 
Hapo Sasa kazi ipo. Hao wote wawili ni wazee wa ndumba. Wameamua kutunishiana misuli.
 
Japo hii ni sanaa ndani ya jumba la sanaa lakini nakubaliana na Mchengerwa sababu wakati mwingine unakuta kosa sio la diwani maana budget inakadiliwa kulingana na mahitaji aliyowasilisha kwenye baraza la madiwani halafu pesa inakuja haijajumuisha mahitaji ambayo diwani alipendekeza kwenye jimbo lake so wakati mwingine tunaweza kutowatendea haki unless tupate uhakika kwamba kero hizo ziliwasilishwa na wananchi na diwani husika hakuziwasilisha zinakopaswa kupelekwa.
 
Namuunga mkono Makonda. Kwenye vikao vya mabaraza huwa kunaujinga mwingi sana wa kutokukubaliana mambo mhm ya maendeleo.

Sasa kama fedha 20bil zinarudishwa unawaoneaje huruma wapumbavu hao.

Kwanza wangepigwa na viboko kabisa. Hatuwezi kuendekeza migogoro ya kutokukubaliana kutekeleza miradi ya maendeleo hadi tushindwe kutumia fedha zinazotengwa na serikali.
 
Japo hii ni sanaa ndani ya jumba la sanaa lakini nakubaliana na Mchengerwa sababu wakati mwingine unakuta kosa sio la diwani maana budget inakadiliwa kulingana na mahitaji aliyowasilisha kwenye baraza la madiwani halafu pesa inakuja haijajumuisha mahitaji ambayo diwani alipendekeza kwenye jimbo lake so wakati mwingine tunaweza kutowatendea haki unless tupate uhakika kwamba kero hizo ziliwasilishwa na wananchi na diwani husika hakuziwasilisha zinakopaswa kupelekwa.
Makonda kaweka wazi..hao wamerudisha zaidi ya bilioni 20 hazina.

Kisa wanabishana na kuvimbiana wapi pawekewe sawa.

Ifike hatua tuache utani ..nakupa mfano wa Barabara ya Dodoma-Iringa(Death trap ya mashimo)
Huko mpaka raia waishe na ajari ndio.watu watashtuka,na magari mazuri tu ya viongozi yanapita huko.

Kuna Majiji kama Arusha,Mbeya na Mwanza barabara za mitaa ni za hovyo mno..haziendani na hadhi ya miji hiyo.

Na inawezekana kabisa zikawekwa sawa na kukawa kuzuri tu..hakuna cha bajeti wala nani...kutojali na ufujaji wa pesa ndio matatizo yetu.
 
Roho ya kimasikini ikatae.Huwezi kuchafukwa nyongo bila sababu ilo ni tatizo la akili.
Una akili ndogo Sana ambayo huwezi mzidi ata Tandu.
Inaonekana wazi wewe Ni Mwizi Kama Jamaa yako.
 
Back
Top Bottom