Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwa hiyo ameongea Kama hayo kama nani Kwa mfano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, na-feel ulivyokasikirika kwa haki kabisa, kuna vitu vya ajabu kwa kweli. Hivi kuweka vizuri mazingira ya shule za uma nayo inatushinda kabisa kweli?!Ndoa yangu Iko salama hapo? Mkeo angeenda? Au saivi yuko kwenye kiyoyozi
Yaani mnataka amani lakini hamtakubali wengine watawale? Mbona ni conflict? You contradict yourself!!Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361
[emoji7][emoji2956][emoji2956]KWANI WEWE Fortilo ULIKUWA NA MPANGO WA KUIVURUGA AMANI YETU WATANZANIA?, KIPI KIMEKUCHUKIZA?
[emoji2956][emoji2956][emoji1787]Mmechukizwa kweli wenye malengo ya ugaidi na wote msioitakia mema Tanzania yetu.
Mkwe hafai kuwa waziri!Hana maana huyo maana Rufiji kumejaa ufukara wa kutupwa hakuna barabara ya maana. Ukitoka pale Temeke Sudani kwenda Mloka unafika saa 12 jioni. Yaani kule kwetu nadhani kuna laana ya maisha. Huyo kafungia Kiredio anaonekana mkombozi kweli apambane na ufukara wa Rufiji yote halafu aje na viroja vyake. Huyu hakufaa kbs kuwa Waziri. Very bogus man.
Lazima atape tape maana anajua mkwewe akiondolewa madarakani, na yeye automatically ataondoka.Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361
ItakuwaLabda anawaambia magaidi, maana huko jimboni kwake kuna shida huko.
Mtavuna mabua kenge nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja ,tukicheka na nyani....
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo akiongea inaonekana kana kwamba anasukumwa na maslahi yake binafsi ya kifamilia badala ya yale ya wengi Yaani Umma wa watanzania.
Ako na conflict of interest.
Uhalali wake wa kunena unakuwa impaired sababu hayuko huru yuko biased .?!
Alikuwepo Jiwe na Mwamba hapa nchiniUnauliza kibri anaipata wapi wakati anakemea watu wanaojaribu kuichezea salama na amani yuliyonayo?
Kwanini huwaulizi wajivuni wanaotaka kuichezea amani? Kibri hiyo wanaitowa wapi?
Au na wewe ni katika hao wanaotaka kuharibu amani ya nchi?
Hiyo speech peke yake ni kiashiria cha umwagaji damu.Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361