Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mara ya kwanza kunyolewa ndevu kwa kijiti ilikuwa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kuna kipi Cha ajabu kaongea? Amesema wote mtakaojaribu kuvuruga amani ya Nchi mtashighulikiwa na hizo Haki za binadamu hazitawasaidia.Hizi kauli sio na wala hazina afya , haki za binadam zikianza kukiukwa , icc Mchengelwa inamuhusu, viongozi chunga kauli zenu kesho yetu hatujui
Ndio wapo si ni wazee Wetu saizi"Sisi vijana tulioshuhudia utawala wa baba wa taifa"!
Hivi kuna yoyote aliyeshuhudia utawala wa Nyerere na bado akabaki kuwa kijana hadi leo?
Balaa gani? Atakaeleta balaa ndio atashughulikiwaHawa viongozi wa Leo watatulete balaa nchini.
Yuko kwake,alitimiza wajibu wake na huyu atatimiza huo wajibu kisha kijiti kwa mwingine.Nani alikuwa anatoa mkwala kumzidi Palamagamba yuko wapi leo.
Bandari imeuzwa bei gani?Wanaochezea nchi ni wauza Bandari
Fuata sheria hakuna anaechezea WananchiAsitutishe! Na wao tunawaonya wasijaribu kutuchezea wananchi,Hii nchi ni Mali yetu wananchi,wao viongozi wamewekwa tu hapo watusaidie kiuongozi. Bahati mbaya sana wamejisahau na kuifanya nchi ni Mali yao! Uongozi yeyote atakayejaribu kutuchezea wananchi kipindi hiki atakiona cha mtema kuni! Tumechoka na sisi.
Huo ujinga unakujaje? Unataka niikumbatie chama gani?Wewe huoni ni ujinga kuendelea kuikumbatia CCM?!
Fisadi ni yule anayetaka kuuza nchi yetu kwa Waarabu wa Dubai.Fisadi ni nani na una uthibitisho? Hakuna kulazimisha kuingia madarakani Kwa nguvu
Ubadhirifu upi utajeFisadi ni yule anayetaka kuuza nchi yetu kwa Waarabu wa Dubai.
Anayekaa kimya bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya ubadhirifu unaoendelea nchini.
Mama Abdul na kundi lake.
Hiyo imeenda!
Wewe vunja amani ndio tutajua mchumba ni wewe au yeyeHuyo mndengeleko ni mchumba tu.
Badala ya kumkabili, msaidie kwa kutoa ufafanuzi kuhusu hoja yake!Ubadhirifu upi utaje
Anaetaka kuuza Nchi, uwekezaji ni kuuza Nchi?
Wapotoshaji kama nyie ndio mnatakiwa kukabiliwa vilivyo
Hoja ipi? Uzushi wa kutunga eti ubadhirifu,Hawa si ndio wa kukamata Ili wakatoe ushahidi Wakiwa selo.Badala ya kumkabili, msaidie kwa kutoa ufafanuzi kuhusu hoja yake!
Utakabiliana na wangapi mkuu?
Kazi inaendelea ukinaswa umekwenda na majiAkamtishie mke wake fala huyo sisi tulishatishiwa na kina kabudi na tukasavaivu🤣
Kazi imeanzaAanze na mfumo jaja wa Tamisemi unaoitwa Tausi kama kweli anamaanisha anachosema. 🤓
Onyo linakuhusu, Mchengerwa kaza hivyo hivyo
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1701686672377643381?t=0jdYJpc36nC9V4bv14RULw&s=19