ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
CHADEMA Kwa nini mna panic si mlisema mumejitoa kwenye Maridhiano ambayo yangewasaidia kupata Katiba Mpya.
Sasa Rais amepiga chini hadi Jamii ipate uelewa wa Katiba Mpya na muafaka wa pamoja.
Saizi mumeishia kutukana Rais mitandaoni lakini very unfortunate haita wasaidia kitu,imeshawakata tungeni mbinu nyingine.
'Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali hatutamuacha salama hata kidogo, hatutakubali hata kidogo. Misingi ya taifa letu Baba wa Taifa alikwishaiandaa, na sisi vijana wa karne hii tuliopata bahati ya kushuhudia utawala wa Rais wetu wa Awamu ya Kwanza [Hayati Mwalimu Nyerere] tumesema taifa hili litaendelea kuwa na amani na utulivu." - Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa