ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Onyo linakuhusu, Mchengerwa kaza hivyo hivyoWaziri wa "Tamisemi" kuvaa Gwanda la "CCM" na kutoa kauli ambazo zilistahili kutoka kwa "Waziri wa mambo ya Ndani."
Ni wazi maji yamewafika shingomi wana familia ya Mama Abdul.
Sasa tunaanza kuona rasmi akitekeleza kile alichoagizwa na Mama mkwe.
Mchengerwa..Acha kutumika vibaya maana 2025 inaweza ikakuacha kijiweni endapo hutakaa na Mama Abdul na kumwambia yafuatayo...
Mama yangu mpendwa ..
Ukweli ni kwamba sisi wachache ndio tunataka kuvuruga Amani ya nchi hii.
Madudu niliyoyakuta na yanayoendelea hapa TAMISEMI ni Ubadhilifu mkubwa Sana.
Pia hii DP-WORLD Mama nakushauri uachane nayo maana ndiyo imekuja kuwasha moto wa Hasira kutoka kwa wananchi.
Hivyo nilushauri Mama ama tuachane nao au tuurudie mkataba ma kuufanyia mabadiliko kabla ya kuusaini.
Mara yangu mpendwa usiwalaumu watu wa mitandaoni maana nimegundua ya kwamba wao ndio wakweli kuliko hawa wanaokuletea taarifa hapa ofisini.jaribu kuyatumia maoni yao mengi maana wao wako site mtaani.Na kweli huko hali ni mbaya mama.
Pia mama nakushauri uache kumtumia Abdul maana familia inazifi kuchafuka kupitia matendo yake kubainika hadharani na jamii.
Kisha mchengerwa unaweza kumalizia kwa kumshukuru kusema...Mama Naendelea kukushukuru kwa kinikubali na kuniruhusu kuwa mmojawapo wa familia hii ya mama Abdul.
Badala ya kuanza matisho kwa watanzania!
Ambayo hakika hayatakuacha salama.
Mambo ya usalama wa nchi waachie mawaziri wa wizara husika toka mambo ya ndani pamoja na wizara ya Ulinzi.
Wewe kaa hapo TAMISEMI maana ndio chimbuko la ufisadi.View attachment 2747403
Fisadi ni nani na una uthibitisho? Hakuna kulazimisha kuingia madarakani Kwa nguvuBaba wa taifa hakusema tutetee ufisadi.
Mnalitumia jina lake vibaya.nyinyi ni wavuruga ndio mnavuruga amani yetu.
Kwani, si wale wazee wa kizimkazi walisema watawavimbisha matumbo wote wenye husuda na fitina?Waziri wa "Tamisemi" kuvaa Gwanda la "CCM" na kutoa kauli ambazo zilistahili kutoka kwa "Waziri wa mambo ya Ndani."