Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18


Mkuu naelewa, ila hizi sio zama za wazee wetu walioishi kijiji kimoja hadi kutta tabia ya mtu. Si ajabu wewe unakutana na mtu Dar kumbe ni kahaba mstaafu wa Arusha na unaoa fresh tu.

Sijui nisemeje ila naelewa point yako ila uhalisia wa maisha ya sasa ni tofauti kiasi na tunapotoka
 

Najua Sina usomi wa kukuzidi ila unajizima data tu, sasa nasemaje 😁😁😁 kikombe kile kile unachawapimia wazazi wa hao mabinti bhasi uje upimiwe na wewe ili ujue jinsi inavyouma kuvirubuni vibinti ambavyo hata havijakomaa kiakili ili utimize haja zako za kimwili.

Unaona alichopitia na anachopitia P funk kwa Paula japo yeye alimtorosha kajala kwao akiwa 16, bhasi ukifika stage yake, utameza maneno yako
 
Wanasema hivi "vile vibinti ulivyokuwa unavikimbiza miaka kumi iliopita vikavae pichu, now unavikimbiza vikivukie."
 
As long as binti yupo mikono salama miaka 18 ni mtu mzima, wacha mzee apumzishwe kwa masaji maana kukimbizana viwanjani na vikumbo kila siku unahitaji kitulizo maridadiii.

Hongera Mane, walau huyo kwa umri huo bado ma bazazi hawajamzevezaa saaana - kongole kwa chombo, kula maisha.
 
Labda kama humjui kabisa na haja kuonesha rangi yake halisi, ila wajanja huwaga wanajua na wakijua wanakaa pembeni na hamna mjanja anaye oa bila kufanya vetting hayupo.

Ndoa kwa mwanaume ni kitu very sensitive anaweza akarukaruka,akagonga hovyo malaya,ila inapofika kwenye selection ya ndoa huwaga tupo makini sana,kwani ukibugi utakuwa unashinda bar mpaka saa saa nne usiku,kazini unadamka saa kumi na mbili kamili asubuhi tena kwa wakristo ndio kabisaa maana huku chance moja.
 
😁😁😁 true mkuu

Japo kuna waliooa mabikra au waliotafutiwa mabinti waliotulia kutoka vijijini au familia zilizotulia lakini mwisho wa siku nao wanateseka.

Hakuna aliye fundi au mjanja zaidi ya kumuomba Mungu pia
 
VETTING.

hapa huwa tunatuliza sana kichwa.
 
😁😁😁 true mkuu

Japo kuna waliooa mabikra au waliotafutiwa mabinti waliotulia kutoka vijijini au familia zilizotulia lakini mwisho wa siku nao wanateseka.

Hakuna aliye fundi au mjanja zaidi ya kumuomba Mungu pia
Ndio wapo mabikra wanakengeuka ila probability ya bikra kukengeuka ni ndogo approximately equal to zero,ila mwenye high body count probability ya kukengeuka ni kubwa, so watu wana Calculate risk ya kuishi nayo (wanachagua msalaba mwepesi wa kuubeba).
 
Kwani hapa bongo umri wa kuolewa ni miaka mimngapi ili mshangae huyo wa 18 kibongo bongo wazazi wakiridhia 15 unachukua mke ndio sasa wanampango wa kubadili sheria tena wanapiga kura kuisapoti lakini jamii bado haiwezi kubali kwenda 18 maana watoto kibao wako mtaani hawataki kusoma mzazi uwezo hana unadhani akiletewa mahari anaikataa.... Jamaa kafanya jambo zuri tu maana kwa nchi yake mtoto akiwa na 16 anaolewa vizuri tu
 
Sasa mbona kama ulichoandika kipo nje ya hoja mambo ya kulilia sikukuu na kulalamika kuhusu mapenzi vinahusiana nini, labda nikuulize wanaoongoza kukataa ndoa sasa hivi ni kina nani na kwanini, na je sababu na lengo la kukataa hizo ndoa ni nini
"siku hizi kote mitandaoni wanaoongoza kulalamika kuhusu mahusiano ni wanaume, " (Hiki itakuwa uliandikiwa nini...)

Kipo nje ya mtizamo wako sababu umeamua mwenyewe kukaza kichwa (sikulaumu).Wewe si umesema wanaume wanaongoza kulalamika nimekupa mfano wa men day na women day kelele nyingi za malalamiko zina sikika siku gani? au na hili unaamua kupinga.

Wewe sasa ndiye unaenda OP sijazungumiza ndoa ila nitakujibu.

Hamna mwanaume anaye kataa ndoa ukiona hivyo hajapata mtu sahihi,kwani ndoa kwa mwanaume ni msalaba anahitaji mda ili aweze kupata mtu sahihi ndipo aoe.

Unaonekana unapenda ndoa,ila kwa jinsi nikitizamaga comment zako humu JF wewe huwezi kuishi ndoa.
 
Sio kosa lako brain yako inaonekana ipo damage na polluted na hizi harakati zenu, sasa kuhusu kulalamika ulikataa nini na sasa unakubali nini wakati uliandika ww mwenyewe.

Kama hujui siku hizi wanaume wamewaacha na ujuaji wenu muendelee nao na hatuongei siku hizi,ukijitia kiburi tunakuwa jeuri.

Swala ndoa umelileta ww ndio maana ninekuuliza unahitaji ndoa?

Kwani wewe kwa akili yao (nataka kukuona kama umepevuka)... ndoa ina faida gani kwa mwanaume..... na kwa nini mwanaume anatakiwa kuoa?

Hiyo research yako ya wanawake desperation ya ndoa inaisha umri ukienda unaitolea wapi?

Natamani kama ungekuwa umekitizama kipindi kimoja kipo NatGeo cha Mariana halafu ungeona wanawake wakizungu walivyo na hamu ya ndoa ,pamoja na hela/elimu zao ila wanatapeliwa sana na Waghana,watu wanawapiga mpaka 10-50K,wewe sijui unaongea nini............... Nina real example ya wanawake wawili ninao wajua wote Mainjinia mmoja yupo kwenye mafuta,mwengine IT 30+ wote wanatafuta mume,wana hela/elimu na vichwa kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…