Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Yaani nyie bila dola hamuwezi kisavaivu kwa wiki tatu.
Mnajivunia dola Kama alivyokua akijivunia Omar Al Bashir.leo dola hiyo iko kinyume nae.
Unaweza kuona haiwezekani hata Bashir aliona hivyohivyo.
 
waliomshauri mkulu kutumia hii plan.alafu mwisho wa siku plan imeferi hakika watazitapika fedha za mkulu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,watalazimika kuzitolea sehemu yoyote yenye uwazi!!Teh teh teh!
Wamemuingiza JPM cha kike,poor propaganda plan imebackfire big time!
 

Ila hapo kwenye vyombo vya habari ni kweli, yaani angemsaidia kimya kimyaaa, hapo kweli, ujue mm nakubali ukweli wa wazi, labda hilo ni kosa kidogo limefanyika, angemsaidia kimya kimyaa, ingekua na nguvu zaidi sbb ya undugu. Got you.
 
Ila hapo kwenye vyombo vya habari ni kweli, yaani angemsaidia kimya kimyaaa, hapo kweli, ujue mm nakubali ukweli wa wazi, labda hilo ni kosa kidogo limefanyika, angemsaidia kimya kimyaa, ingekua na nguvu zaidi sbb ya undugu. Got you.
Kama wangefanya hivyo,ndugu wenyewe kwa utashi wao wangeweza kutoa shukrani kwa JPM kupitia vyombo vya habari,na hapo ingekuwa na impact kubwa kuliko kilichofanyika!Tatizo kitengo cha propaganda huko lumumba kina vilaza,ona sasa wamemuaibisha Rais!
 
Kwa kuangalia Yule anasema ni kama Msigwa alikuwa analazimishwa kuongea. Isiwe alikuwa kategeshewa mtutu pale
 
Mpenda ligi anavopenda bifu kuliko maendeleo kama atokata rufaa sijui,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…