Yaani nyie bila dola hamuwezi kisavaivu kwa wiki tatu.Sasa Msigwa akiongea hovyo, tunamrudisha mahakamani, achunge ulimi wake, si anaringa tumejaribu kumsaidia hataki, sasa akienda mahakamani tena hakuna msaada tena hata akiita Magufuliiiiiii njooooooo baba njooooo Mh. Rais njoooooooo hakuna tena kumsaidia.. Shauri yake 😅😅😅
Mnajivunia dola Kama alivyokua akijivunia Omar Al Bashir.leo dola hiyo iko kinyume nae.
Unaweza kuona haiwezekani hata Bashir aliona hivyohivyo.