Kwani tulimuomba si aipeleke Yapi Merkez ikamilizie SGRJamani mkuu kaonyesha moyo wa kujitolea, pesa ya mkuu imeshalipwa basi itumike kusaidia magereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waandae series kisha iuzwe kwa makampuni makubwa kama Netflix. Pesa zisaidie nchi.Narudia tena hii serikali ya magufuli awamu ya5 ikiwezekana baada ya kumaliza muda wake iwekwe makumbusho ya taifa maana si kwa vituko hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
*Anaandika Askofu Benson Bagonza*Eti usitufuate fuate kwenye Mambo yetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kila siku wanaishi kwa msaada wa Rais?Ila naona hata undugu utapungua sana sasa, Msigwa akipata tu shida kuanzia sasa Mh. Rais hawezi kabisa msaidia kwa hili lililotokea, na hata ingefaa Msigwa angetoa neno la shukrani kwa Mh. Rais, sasa hizo hela zikirudishwa kwa Mh. Rais navyojua hatakubali tena kutoa msaada hata huko kwao nyumbani, sbb atasema niliingiwa na huruma nikatoa msaada baada ya ndugu zenu kunijia, ila nikapata fedheha. Yaani Msigwa shauri yake
Mkuu nakuomba ulitendee haki jina la Prof. Wangari Maathai...
Bila uthibitisho hizo zote zinaweza kuwa drama tu kusaka cheap popularities ...
Huoni kuwa Chadema wameleta hadi pay slips??
Kwan kuna mchezo gan hapa umechezwa hapa mkuu??
Kwani kila siku wanaishi kwa msaada wa Rais?
Nasubiri jibu mzee mwenzangu[emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji808][emoji617][emoji808][emoji617][emoji808][emoji617]
Jr[emoji769]
Kwa hiyo hizo milion mbili Rais alishindwa kumalizia?!Kamlipia 38m! Si kuna kaundugu hapo kati!?
Hivi Polepole ni Afisa Magereza? Mbona yuko busy sana huko Segerea?Habari,
Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.
Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Yaani waandishi wa havmbari wa Tz sijui mna karirishwa au?? Kama Chadema ili lipa control namba hiyo huwezi kuitumia twna. Automatically huwa ina kufa. Acheni kutufanya. Mazuzu waulizeni Ccm wametumia control namba za kulipia toka wapi? Na release order nani kapewa??Habari,
Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.
Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.