Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchango wa mh Rais umesaidia sana,
Chadema iliomba msaada wa michango Kwa wananchi wote Na Rais JPM kaitikia ombi lkn pia familia ya mchungaji msigwa imeomba msaada kutoka Kwa Rais Na Rais kakubali ombi, tatizo linatoka wapi?
Hongera sana Kwa Rais
Naona unajishika mwenyewe matako yako kisha unajiweka mikono yako puani kuangalia kama inanuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujitekenya kisha kucheka mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwanamke ni bora tu ukae kimya aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nachojiuliza hadi sasa imekuwaje hadi Control Number moja ya mahakama kupokea pesa Mara mbili? Maana ukiangalia ulipaji huo si wa jumla ni kila mtu na malipo yake na pesa ina kikomo yaani 40M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji617][emoji617][emoji617][emoji808][emoji808][emoji808][emoji808]
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.

Jr[emoji769]
 
Siyo ajabu kwa CCM hata mara5 inalipa [emoji23][emoji23][emoji23]
Najiuliza ukiangalia risiti Chadema walilipa mapema sasa toka lini Control Number moja ikafanya malipo Mara mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…