Mbinu zaidi za kujaribu kuiondoa treni ya Chadema/Ukawa relini ambayo sasa ipo kwenye mteremko wa mwendo kasi kuelekea ikulu.
Treni yetu ipo mwendokasi kwenye mteremko kuelekea KABURINI mzee. Kama ikulu ipo kaburini labda. Maana definetely uchaguzi tutashindwa, wananchi wameshaamua na matokeo ya tafiti zote mbili hatuwezi zidharau tena taasisi kubwa kitaifa na kimataifa. Hapo ndipo anguko la chadema na ukawa litakapotokea. Vyama hivi vitazikwa kiukweli na labda chama kipya kitaibuka na baadhi ya makamanda wa ukweli Dr Slaa na Prof Lipumba. Ngoja Lipumba arudi hija muone. Ngoja na Dr Slaa akirudi wiki ijayo muone moto wake sasa.balaaa..