MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

Timu gani imefanya vizuri kwenye Mdahalo

  • Team Mbowe

  • Team Lissu


Results are only viewable after voting.
Malizia kwamba Na hao wapiga kura wa mbowe ndo wanaenda kuiua chema ya mbowe
Lissu hana wapiga kura(ana keyboard warriors etc)
Mbowe anao wapiga kura🤔
Concl
Siasa ni ngumu sana😂😂😂
o
 
Lissu hana wapiga kura(ana keyboard warriors etc)
Mbowe anao wapiga kura🤔
Concl
Siasa ni ngumu sana😂😂😂

Akishinda Mbowe ujue Hata urais Chadema haiwezi kumsimamisha Lisu . Itabidi itafute mtu mwingine .
Na kwa sababu umesema Mbowe anawapiga kura wengi kuliko Lisu basi inabidi Mbowe agombee mwenyewe .
Mbowe akigombea urais na Abdul NONDO ,NONDO anapata kura nyingi zaidi mana mbowe hawezi kupata zaidi ya kura laki mbili na nusu za urais .

Chadema ya Mbowe inaelekea kuungana na CUF ya Lipumba sio muda mrefu.
 
Nimefuatilia mwanzo mwisho, team Mbowe wanaropoka hovyo tu lakini team Lissu wako smart. Wale wa mbowe kazi yao kumuattack Lissu lakini team Lissu wao walifocus kwenye hoja za msingi na bado wameonyesha kumheshimu Mbowe.
Lyenda na Gwamaka wakikuwa smart sana kwenye majibu sawia na swali husika kwa kutumia takwimu na si maneno maneno tu.
 
Wawakilishi wa pande zote mbili wanapigania kuwepo kwa wapambe wao: wa Mbowe, Mbowe, na wa Lissu, Lissu. Kwa jinsi ulivyoiweka it's as if wapigadebe wa Lissu hawa'mind' hata kama Mbowe au wagombea wengine watachaguliwa, jambo ambalo si kweli. Upo hapo?
 
Wanaelewa sana sema unapojitoa kumtetea mtu ambaye kwa wakati huo hauziki inatakiwa ujitoe na ufahamu sometime
Loh! Kumbe Ntobi na Yeriko ni vichwa maboga. Hawana uwezo wa kuelewa hata swali.
 
Lazima chama kijijengee uchumi wake na si kuwa dependent political party ambacho kitakuwa tegemezi kwa kiongozi/viongozi wake.
Team Mbowe wanasisitiza kwamba Mwenyekiti awe na uwezo wa Kifedha, Mbangaizaji hapana!!!! 😳
 
Hakika
 
Weka mawazo yako sawia na msimamo wako, ukielezea sababu yako.
 
Mbowe hauziki, hata wewe ungealikwa kwenye mdahalo usimame upande wake hali ingekuwa ngumu tuu!!.
Kiufupi, Mbowe hakusoma vzr alama za nyakati...kwa nyakati hizi hawezi shindana na Lissu ktk chaguzi yoyote huru.
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…