Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oLissu hana wapiga kura(ana keyboard warriors etc)
Mbowe anao wapiga kura🤔
Concl
Siasa ni ngumu sana😂😂😂
Lissu hana wapiga kura(ana keyboard warriors etc)
Mbowe anao wapiga kura🤔
Concl
Siasa ni ngumu sana😂😂😂
Lyenda na Gwamaka wakikuwa smart sana kwenye majibu sawia na swali husika kwa kutumia takwimu na si maneno maneno tu.Nimefuatilia mwanzo mwisho, team Mbowe wanaropoka hovyo tu lakini team Lissu wako smart. Wale wa mbowe kazi yao kumuattack Lissu lakini team Lissu wao walifocus kwenye hoja za msingi na bado wameonyesha kumheshimu Mbowe.
Wawakilishi wa pande zote mbili wanapigania kuwepo kwa wapambe wao: wa Mbowe, Mbowe, na wa Lissu, Lissu. Kwa jinsi ulivyoiweka it's as if wapigadebe wa Lissu hawa'mind' hata kama Mbowe au wagombea wengine watachaguliwa, jambo ambalo si kweli. Upo hapo?Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika Uongozi wa Mwenyekiti Chadema Taifa na si mtu mwingine kwa michanganuo ya majibu yao.
2. Wawakilishi wa Team Lisu ambao ni Gervas Lyenda na Gwamaka ambao wamesisitiza mara kadhaa katika majibu yao kuwa wanahitaji kiongozi atakae jenga Taasisi imara ya Chamakitakachoweza kujisimamia Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii pamsipo kutegemea uwepo wa mtu mmjoa kwenye chama aweze kuendesha chama.
Kwa walio ng'amua zaidi, Comment yako muhimu
HakikaAkishinda Mbowe ujue Hata urais Chadema haiwezi kumsimamisha Lisu . Itabidi itafute mtu mwingine .
Na kwa sababu umesema Mbowe anawapiga kura wengi kuliko Lisu basi inabidi Mbowe agombee mwenyewe .
Mbowe akigombea urais na Abdul NONDO ,NONDO anapata kura nyingi zaidi mana mbowe hawezi kupata zaidi ya kura laki mbili na nusu za urais .
Chadema ya Mbowe inaelekea kuungana na CUF ya Lipumba sio muda mrefu.
Weka mawazo yako sawia na msimamo wako, ukielezea sababu yako.Wawakilishi wa pande zote mbili wanapigania kuwepo kwa wapambe wao: wa Mbowe, Mbowe, na wa Lissu, Lissu. Kwa jinsi ulivyoiweka it's as if wapigadebe wa Lissu hawa'mind' hata kama Mbowe au wagombea wengine watachaguliwa, jambo ambalo si kweli. Upo hapo?