Dunderhead at work .Alitaka aendelee kuwa Mbunge ili amuwakilishe nani wakati hataki kurudi nchini kwake? Hata hivyo aendelee kukaa huko tu maana hana msaada kwa wapiga kura wake zaidi ya makelele tu
Huyo pimbi wenu anayeivuruga hii hamuoni .Wanasiasa mara zote ndivyo walivyo, wabinafsi mno,
Anachochea vurugu halafu jambo linapofikia kwake anadai anahofia usalama wake, na yuko zake huko Ulaya!!
Na mara zote huwa tunasema hapa, hawa wanasiasa sio wa kuwaamini, wanataka amani ivurugike halafu tukishaanza kupigana, watachukua pasi zao za kusafiria watakimbia wao na familia zao, halafu wakiwa huko nje bado wataendelea kutuchochea. Tunaoathirika ni sisi, wao wanasubiri tu kugawana madaraka.
Ni kuwa makini mno na kauli za wanasiasa.
Dunderhead at work .Huyo labda kaomba Ukimbizi Ulaya kakubaliwa hivyo Kisheria haruhusiwi kukanyaga nchi ambayo kaikimbia, siku akija TZ na ukimbizi wake unafutwa, ndo maana labda anawapiga danadana, huyo Tundu Lisu ni mtu Muongo sana!
Amfuate huko huko ili amhukumu vizuriKwa hiyo wewe ulitaka Hakimu afanyeje?
Asante kwa jibubliloenda shule.Hakimu anafungwa na sheria, sheria ni kipofu, sheria na haki ni vitu viwili tofauti tena vyenye kupingana, mahakama haifati taarifa zisizo rasmi au hisia hata kama dunia nzima inajua hivyo
CONCLUSION;
Afya ya akili ya Mheshimiwa ipo safi kabisa na hapo anatekeleza na sio kulekezeza matakwa ya kisheria
I sympathise na Mh. Lisu but Hakimu alikua lazima ahoji mahali alipo mshtakiwa
Hakimu anafungwa na sheria, sheria ni kipofu, sheria na haki ni vitu viwili tofauti tena vyenye kupingana, mahakama haifati taarifa zisizo rasmi au hisia hata kama dunia nzima inajua hivyo
CONCLUSION;
Afya ya akili ya Mheshimiwa ipo safi kabisa na hapo anatekeleza na sio kulekezeza matakwa ya kisheria
I sympathise na Mh. Lisu but Hakimu alikua lazima ahoji mahali alipo mshtakiwa
Nordic/Scandinavia hawatembei na walinzi mkuuKuna Rais duniani asiyetembea na ulinzi?
hivi Wapinzani mmeishiwa kabisa hoja?
Pamoja na mazingira hayo Hakimu yeye halioni hilo?Tatizo kuu au kizuizi au kinachomfanya Lisu asirudi.
1. Waliotaka kumuua hawajakamatwa
2. Waliotaka kumuua hawajulikani akinanani
3. Waliotaka kumuua hawajulikani wapo wapi
Serikali kupitia jeshi la polisi pia hawajaweza
1. Kuwakamata
2. Kuwabaini
Katika mazingira haya, risk/hatari nikubwa kwa Lisu kitu kilekile kujirudia na wahenga alisema
Kunguru muoga hukimbiza mbawa zake na
Kinga nibora kuliko tiba
Kifo hakina spea nibora zaidi kuepuka Shari usijaribu kwani ukifa umekufa.
Lisu tambuwa wazi . SUMU HAIONJWI/HAIJALIBIWI
Pamoja na mazingira hayo Hakimu yeye halioni hilo?
Kidogo tunaanza kuamini kuwa the Law is an ass!
Nakuunga mkono mkuu, na naunga mkono Lisu asirudi kwa sasa but hakimu hana kosa kwakweli, amefata maagizo na taratibu za sheria zinavomtaka
Kuna kesi moja nchini Uingereza ndugu wa marehemu walishtaki kupinga mbwa wa marehemu kuachiwa urithi qa mali nyingi na marehemu ndigu yaoSheria hazizingatii mazingira ya tukio, mtuhumiwa, ?