Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Ila chupi zinafilisi sana..kuna wanawake wana gundu hatari! Kuchanganya mashimo kuna poteza focus! Madereva wale wazoefu wamenielewa.
 
Mkuu, nahisi huyo si kaka yako, Ni Mume wako. Na kama ni hivyo basi chunguza sababu ni nini. Labda anafanya yake kimya kimya kwa sababu ya tabia zako. Au katekwa na shangingi linalo jua kudhibiti . Ni ushauri wangu tu kwako kama ni hivyo...!! Rekebisha mapema.
 

There is no way out zaidi ya kukaa nae chini na kumuelewesha tuu....
 
mletee rafikizo wa kike ili akiwapa hela muwe mwala pamoja na kunywa savanna na desperado
 
Haya ni matatizo ya familia yenu, sisi hayatuhusu...

Kama unaona anafaidi sana nenda kamchongee kazini kwake afukuzwe kazi ufurahi...
 
Mbona kawaida. Mtizamo wake ni tofauti na wa kwako. Hata mi niko kama yeye. Na tena kipato changu ni zaidi ya ulichotaja hapo. Watanzania wengi wakipata pesa wanafikiria nyumba lkn tupo ambao tuko tofauti na tunafurahia maisha yetu. Tunaweka pesa benki kwa ajili ya watoto. Ukiwa na pesa ya kutosha benki, unanunua nyumba siku yoyote ukitaka. Kuvaa? What is kuvaa? Kuvaa ni kusitiri utupu wako tu. That's all. Kujionyesha kwa watu kuwa unavaa vizuri ni ulimbukeni tu huo. Kama niliwahi kufanya hivyo labda zamani wakati niko mtoto. Chukulia maisha kirahisi, uishi kwa furaha. Mwisho wa siku tutazikwa tu na kuoza udongoni.
 
Kumbe tuko wengi. Yaani kuana watu na nyumba ni kama kobe vile. Hasa hawa akina mama. Utadhani watakaa hapa duniani milele. Kama mtu kaamua kujistiri katika nyumba ya kupanga, wewe unapata shida gani?
Huyu ni mwenzangu kabisa na tunaweza kukaa meza moja na tukazungumza jambo na kuelewana
 
Nyinyi wanawake si ndio mnalilia kuwa mpewe pesa . Mimi naona kakaako anafanya vizuri ili mjifunze kua wanaume sio ATM za kuwapa hela . Hapa unalalamika ila uko nyuma ya pazia unamkamua pesa mwanaume wako hata kumtumia mama yake elfu kumi hawezi
 
Inawezekana hata siyo mtu wa wanawake. Yaani watu wakishaona una pesa halafu haufanyi yale wanayowaza wao, basi wanasema wanawake wanamaliza pesa zako.
 
MAOMBI YANAHITAJIKA ILI UFAHAMU WAKE UMRUDIE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…