Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.
Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.
Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.
Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.

Huyu ni mwenzangu kabisa na tunaweza kukaa meza moja na tukazungumza jambo na kuelewana
Pesa yake, nguvu yake sasa wewe inakuuma nini? Kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha. Kama yeye kipaumbele chake ni wanawake na hamsumbui mtu katika kutimiza kipaumbele chake wewe inakuuma nini dada?
Muache aishi maisha yake, mwisho wa siku akija kujuta hatokuwa na wa kumlaumu zaidi ya yeye mwenyewe.
Mwache aendelee kujenga ukweni atalipwa mbingun [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kama una namba yake unaweza nipatia
MAOMBI YANAHITAJIKA ILI UFAHAMU WAKE UMRUDIE!Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.