WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Inasikitisha kwa kweli.Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Inadaiwa walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
Rais wa TLS naye amesema:
Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali.
Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye.
Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa.
Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki.
Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka.
Boniface A.K Mwabukusi
WAKILI.
Mdude_Nyagali , anayejulikana pia kama "Mdude Chadema," ni mwanaharakati wa kisiasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini.
Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1987 katika kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje, mkoa wa Mbeya (sasa Songwe). Tangu mwaka 2008, amekuwa mwanachama wa CHADEMA na amejihusisha na shughuli mbalimbali za kisiasa, ikiwa ni pamoja na kusimamia kampeni za wagombea wa chama hicho.
Mdude amejipatia umaarufu kwa kuwa mkosoaji wa wazi wa serikali kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kisiasa. Mara nyingi hujitambulisha kama mpiganiaji wa uhuru wa kujieleza, haki za kiraia na utawala bora.
Mnamo Mei 2019, Mdude alitekwa na watu wasiojulikana kutoka ofisini kwake katika Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe. Baada ya siku tano, alikutwa akiwa amejeruhiwa katika kijiji cha Inyala, Mbeya. Alidai kuwa alitekwa kwa sababu za kisiasa kutokana na ukosoaji wake dhidi ya serikali.
Katika maisha yake ya kisiasa, Mdude amekumbana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hata hivyo, ameshinda baadhi ya kesi hizo, na mnamo Juni 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimuachia huru baada ya kumkuta hana hatia katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin.
Usiku wa Mei 2, 2025, taarifa za kukatamatwa kwake zimesambaa kupitia video inayoonekana mtandaoni. Hadi asubuhi hii, hakuna taarifa rasmi zinazoelezea ni wapi alipo pamoja na hali ya afya yake.
Unaamini kwamba kemea ya Nchimbi inatoka moyoni?Aiseee! Nchimbi (mtanganyika) anajitahidi kukemea kauli za hovyo na kujali umoja wa watanganyika. Lakini yeye kimyaaaaa ni kama vile haoni chochote.
Mbaya zaidi wanakupiga mbele ya mkeo na wanaoInaumiza sana yaani mtu anachukuliwa nyumbani kwake kirahisi kabisa anapigwa kwani kama sheria imevunjwa na mtu husika si afikishwe mahakamani kuna ulazima gani wa kuumiza watu kwa namna hii?
Magufuli ni dictator samia anaupiga mwingi sukuma gang ni wahuni tu wa mwenda kuzimu ...haya maneno yalisikika sana kutoka wa,watu wa chadema na upinzani na watanzania wenye UANITHI WA AKILI ....nilipo waambia kuwa wanajidanganya walibisha, naomba wale wajuzi wa kufufua makaburi walete kumbukumbu za hao watu hapa jf ....niliwaonya wapinzani kuwa wanajidanganya hali zao chini ya samia na taifa chini ya samia zitakuwa ngumu sana kuliko kipindi cha JPM na hapa badoooo....ushenzi wa samia bushiri na watoto wake na genge lake la Rostam azizi utadhihilika ndani ya miaka 5 ijayo ...niliwaonya chadema kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM kuliko chini ya Samia pia nilionya kuwa kama atagombea urais 2025 damu nyingi sana itamwagika (nilipondwa sana kuhusu ilo) ...pia ninaonya kuwa samia akiwa rais awamu ya pili kutakuwa na nguvu kubwa itakayo anza baada ya miaka 3 ya uongozi wake wa awamu ya pili kupambania agombee tena 2030 hapa nguvu kubwa itatumika tena...na mbinu 2 au 3 zitatumika...Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Inadaiwa walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
Rais wa TLS naye amesema:
Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali.
Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye.
Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa.
Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki.
Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka.
Boniface A.K Mwabukusi
WAKILI.
Mdude_Nyagali , anayejulikana pia kama "Mdude Chadema," ni mwanaharakati wa kisiasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini.
Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1987 katika kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje, mkoa wa Mbeya (sasa Songwe). Tangu mwaka 2008, amekuwa mwanachama wa CHADEMA na amejihusisha na shughuli mbalimbali za kisiasa, ikiwa ni pamoja na kusimamia kampeni za wagombea wa chama hicho.
Mdude amejipatia umaarufu kwa kuwa mkosoaji wa wazi wa serikali kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kisiasa. Mara nyingi hujitambulisha kama mpiganiaji wa uhuru wa kujieleza, haki za kiraia na utawala bora.
Mnamo Mei 2019, Mdude alitekwa na watu wasiojulikana kutoka ofisini kwake katika Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe. Baada ya siku tano, alikutwa akiwa amejeruhiwa katika kijiji cha Inyala, Mbeya. Alidai kuwa alitekwa kwa sababu za kisiasa kutokana na ukosoaji wake dhidi ya serikali.
Katika maisha yake ya kisiasa, Mdude amekumbana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hata hivyo, ameshinda baadhi ya kesi hizo, na mnamo Juni 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimuachia huru baada ya kumkuta hana hatia katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin.
Usiku wa Mei 2, 2025, taarifa za kukatamatwa kwake zimesambaa kupitia video inayoonekana mtandaoni. Hadi asubuhi hii, hakuna taarifa rasmi zinazoelezea ni wapi alipo pamoja na hali ya afya yake.
CHAMA CHA MAMBUZIMagufuli ni dictator samia anaupiga mwingi sukuma gengi ni wahuni tu wa mwenda kuzimu ...haya maneno yalisikika sana kutoka wa,watu wa chadema na upinzani na watanzania wenye UANITHI WA AKILI ....nilipo waambia kuwa wanajidanganya walibisha naomba wale wajuzi wa kufufua makaburi walete kumbukumbu za hao watu hapa jf ....niliwaonya wapinzani kuwa wanajidanganya hali zao chini ya samia na taifa chini ya samia xitakuwa ngumu sana kuliko kipindi cha JPM na hapa bada ushenzi wa samia bushiri na watoto wake na genge lake la rostam azizi utadhihilika ndani ya miaka 5 ijayo ...nioiwaanya chadema kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM kuliko chini ya Samia pia nilionya kuwa kama atagombea urais 2025 damu nyingi sana itamwagikq (nilipondwa sana kuhusu ilo) ...pia ninaonya kuwa samia akiwa rais awamu ya pili kutakuwa na nguvu kubwa itakayo anza baada ya miaka 3 ya uongozi wake wa awamu ya pili kupambania agombee tena 2030 hspa nguvu kubwa itstumika tena na mbinu 2 qu 3 zitatumika
Mbinu
1)ni kudai kuwa miaka ile minn4 ilikuwa ni kumaliza miaka ya jpm hivyo anatakiwa miaka yake 10.
2)kuanzisha harakati za kuandika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mwishoni wa awamu yake ya pili lengo ni kuonyesha kuwa muda aumtoshi hiyo apewe miaka mitano mingine.
3)kutumia hoja ya lissu ya sasa meishoni mwa awamu yake ya pili ...kuwa ushaguzi usifanyike ila rais aongezewe miaka japo miwili au mitatu kukamilisha tume huru au katiba mpya au vyote kwa pamoja ..hii itampa mwanya wa kubaki madarakani zaidi 2030 .....
ILA NIONAVYO MIMI KUNA MABAYA YATAMKUTA KATIKA HII MIAKA 5 IJAYO IPIGSNIA SASS UENDA ISIISHE VYEMA.
Mungu wangu, damu yote hiyo atapona kweli asipopata matibabu upesi?Usiku huu, ndugu yetu Mdude_Nyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Tazama clip hapa chini by MMM:
Hii ni damu ya Mdude baada ya makazi yake huko Iwambi, Mbeya kuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi. Walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
View attachment 3322288
Bora useme kama,umeongea na Mungu?Magufuli ni dictator samia anaupiga mwingi sukuma gang ni wahuni tu wa mwenda kuzimu ...haya maneno yalisikika sana kutoka wa,watu wa chadema na upinzani na watanzania wenye UANITHI WA AKILI ....nilipo waambia kuwa wanajidanganya walibisha, naomba wale wajuzi wa kufufua makaburi walete kumbukumbu za hao watu hapa jf ....niliwaonya wapinzani kuwa wanajidanganya hali zao chini ya samia na taifa chini ya samia zitakuwa ngumu sana kuliko kipindi cha JPM na hapa badoooo....ushenzi wa samia bushiri na watoto wake na genge lake la Rostam azizi utadhihilika ndani ya miaka 5 ijayo ...niliwaonya chadema kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM kuliko chini ya Samia pia nilionya kuwa kama atagombea urais 2025 damu nyingi sana itamwagika (nilipondwa sana kuhusu ilo) ...pia ninaonya kuwa samia akiwa rais awamu ya pili kutakuwa na nguvu kubwa itakayo anza baada ya miaka 3 ya uongozi wake wa awamu ya pili kupambania agombee tena 2030 hapa nguvu kubwa itatumika tena...na mbinu 2 au 3 zitatumika...
Mbinu
1)ni kudai kuwa miaka ile minne ilikuwa ni kumaliza miaka ya jpm hivyo anatakiwa miaka yake 10.
2)kuanzisha harakati za kuandika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mwishoni wa awamu yake ya pili lengo ni kuonyesha kuwa muda aumtoshi hiyo apewe miaka mitano mingine.
3)kutumia hoja ya lissu ya sasa mwishoni mwa awamu yake ya pili ...kuwa ushaguzi usifanyike ila rais aongezewe miaka japo miwili au mitatu kukamilisha tume huru au katiba mpya au vyote kwa pamoja ..hii itampa mwanya wa kubaki madarakani zaidi 2030 .....au hadi 2033 ay yote 2035.
ILA NIONAVYO MIMI KUNA MABAYA YATAMKUTA KATIKA HII MIAKA 5 IJAYO IPIGSNIA SASS UENDA ISIISHE VYEMA.
😀😀😀ambacho kinashirikiana na jeshi la polisi na kwa udhamini wa ccm
Sasa wewe unaona wanaakili? Hakuna mwana CCM au polisi nchi hii mwenye akili wote mna roho ya uuaji , Hivi mwenye akili anaweza kung'atisha mbwa nankupiga hadi kuua mwananchi mwenzie ambaye hata yeye akiulizwa huyo mwananchi kafanya kosa gani la kustahili kutendewa hivyo hana jibu.Wewe unafikiri wanaompiga hawana akili? Mbona wewe hawakupigi bila sababu, unawwza kunitajia sababu moja inayokufanya usipigwe kama Mdude?
Nitajie sababu moja inayokufanya wewe usipigwe kama Mdude.Sasa wewe unaona wanaakili? Hakuna mwana CCM au polisi nchi hii mwenye akili wote mna roho ya uuaji , Hivi mwenye akili anaweza kung'atisha mbwa nankupiga hadi kuua mwananchi mwenzie ambaye hata yeye akiulizwa huyo mwananchi kafanya kosa gani la kustahili kutendewa hivyo hana jibu.
bashungwa ni waziri gani vile?Hon Bashungwa
Mindset ya ajabu sana, weirdNitajie sababu moja inayokufanya wewe usipigwe kama Mdude.
Acha kujitoa ufahamu lete sababu.
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Inadaiwa walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
Rais wa TLS naye amesema:
Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali.
Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye.
Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa.
Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki.
Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka.
Boniface A.K Mwabukusi
WAKILI.
Mdude_Nyagali , anayejulikana pia kama "Mdude Chadema," ni mwanaharakati wa kisiasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini.
Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1987 katika kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje, mkoa wa Mbeya (sasa Songwe). Tangu mwaka 2008, amekuwa mwanachama wa CHADEMA na amejihusisha na shughuli mbalimbali za kisiasa, ikiwa ni pamoja na kusimamia kampeni za wagombea wa chama hicho.
Mdude amejipatia umaarufu kwa kuwa mkosoaji wa wazi wa serikali kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kisiasa. Mara nyingi hujitambulisha kama mpiganiaji wa uhuru wa kujieleza, haki za kiraia na utawala bora.
Mnamo Mei 2019, Mdude alitekwa na watu wasiojulikana kutoka ofisini kwake katika Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe. Baada ya siku tano, alikutwa akiwa amejeruhiwa katika kijiji cha Inyala, Mbeya. Alidai kuwa alitekwa kwa sababu za kisiasa kutokana na ukosoaji wake dhidi ya serikali.
Katika maisha yake ya kisiasa, Mdude amekumbana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hata hivyo, ameshinda baadhi ya kesi hizo, na mnamo Juni 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimuachia huru baada ya kumkuta hana hatia katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin.
Usiku wa Mei 2, 2025, taarifa za kukatamatwa kwake zimesambaa kupitia video inayoonekana mtandaoni. Hadi asubuhi hii, hakuna taarifa rasmi zinazoelezea ni wapi alipo pamoja na hali ya afya yake.
Usiku huu, ndugu yetu Mdude_Nyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Tazama clip hapa chini by MMM:
Hii ni damu ya Mdude baada ya makazi yake huko Iwambi, Mbeya kuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi. Walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
View attachment 3322288
Aisee maisha ya ovyo Sana!Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Inadaiwa walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
Rais wa TLS naye amesema:
Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali.
Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye.
Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa.
Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki.
Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka.
Boniface A.K Mwabukusi
WAKILI.
Mdude_Nyagali , anayejulikana pia kama "Mdude Chadema," ni mwanaharakati wa kisiasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini.
Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1987 katika kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje, mkoa wa Mbeya (sasa Songwe). Tangu mwaka 2008, amekuwa mwanachama wa CHADEMA na amejihusisha na shughuli mbalimbali za kisiasa, ikiwa ni pamoja na kusimamia kampeni za wagombea wa chama hicho.
Mdude amejipatia umaarufu kwa kuwa mkosoaji wa wazi wa serikali kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kisiasa. Mara nyingi hujitambulisha kama mpiganiaji wa uhuru wa kujieleza, haki za kiraia na utawala bora.
Mnamo Mei 2019, Mdude alitekwa na watu wasiojulikana kutoka ofisini kwake katika Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe. Baada ya siku tano, alikutwa akiwa amejeruhiwa katika kijiji cha Inyala, Mbeya. Alidai kuwa alitekwa kwa sababu za kisiasa kutokana na ukosoaji wake dhidi ya serikali.
Katika maisha yake ya kisiasa, Mdude amekumbana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hata hivyo, ameshinda baadhi ya kesi hizo, na mnamo Juni 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimuachia huru baada ya kumkuta hana hatia katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin.
Usiku wa Mei 2, 2025, taarifa za kukatamatwa kwake zimesambaa kupitia video inayoonekana mtandaoni. Hadi asubuhi hii, hakuna taarifa rasmi zinazoelezea ni wapi alipo pamoja na hali ya afya yake.
Mindset ya ajabu sana, weird
Mtu akikubishia umpige? Opinion tofauti basi apigwe? Hata kama kavunja sheria akamatwe afunguliwe mashtaka