PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naunga mkono hoja
 
Hawa dawa yao kuwapiga kipapai, toka yeye had ukoo wao wote, mbona watajua hawajui. Lol
 
Jamaniiii Siasa za Tanzania hazifai hebu ya ulumieni matumbo ya mama zenu yaliyo yaweka tumboni miezi 9 na kuzaa kwa Uchungu,mfano mzazi wa Ben saa 8.
 
Mna wapigania Watanzania gani nyieee 😬😬😬mbona hawahitaji mabadiliko hayo 🗣️🗣️🗣️🗣️
 
Kwa hapa ilipofikia, ni kheri Upinzani waache kufanya siasa, waachie wenye dola yao wafanye watakavyo.

Nyie wana harakati hurumieni wazazi, ndugu, jamaa na marafiki kwa masaibu mnayopata.

Yajayo yanaogofyaa mnoo, 😢😢😢😢
 
Kwa kweli. 😢😢😢😢
Inaumiza nasema ina umiza mno,yaani unapigania watu ambao hawapo tayari kujipigania kwanza kwa nini wanawaacha wapendwa wao wakiwa na maswali kibao kupoteza mtu miaka kwa miaka ambaye hujui yuko hai au amekufa ni pigo mara 1000 ya msiba wa kuzika.
 
Inaumiza nasema ina umiza mno,yaani unapigania watu ambao hawapo tayari kujipigania kwanza kwa nini wanawaacha wapendwa wao wakiwa na maswali kibao kupoteza mtu miaka kwa miaka ambaye hujui yuko hai au amekufa ni pigo mara 1000 ya msiba wa kuzika.
Haswaa, 😭😭😭
 
Nchi haina Sheria? Kwahiyo Kila mwenye mdomo mchafu auwawe sio?
 
Mjinga ni wewe unayeuliza sababu za kupigwa mdude huku ukijua nchi haiwezi kuwa na watu wanao fanana nchi nzima.
Ila mjinga zaid yangu ni wewe unaye amini kwamba watu wote wanatakiwa kuwaza sawa, hivyo atakaye waza tofauti anastahili kuuawa hujioni kama umekuwa mjinga zaidi.
 
Sasa mdude atalindwa vipi mkuu we si unaona hata Lissu ulinzi anao muda wote lakini polisi walimbeba tu kati kati ya walinzi wake wakaondoka nae.....

Angalau angekuwa hata na watu hapo nyumbani, si imeona mazingira yake lakini sio rafiki kwa Mpigania haki kama yeye. Anaishi mazingira sio salama kwa mtu wa kariba yake. Chadema wanatakiwa wakae waje na mkakati wa kiusalama kwa "Front line human rights defenders" wao angalau wawe na contingency evacuation security plan kwa watu wao.

This is definitely barbaric and uncouth way of dealing with our people.
 
Na wewe NI mmoja Wao ata uandishi WAko unaonyesha Tu umgalilaya "Kisha petrol akajibu "Sijui usemalo sijui kabisa .NA KISHA JOGOO AKAWIKA.
Yesu akamtazama Petro .kisha petro akakumbuka maneno Leo kabla JOGOO hajawika utanijana mara tatu .

Mkuu wewe NI polisi kabisa na sio Basi umehusika katika tukio .Binafsi nimewaza umejuaje Kama mdude alikataa kutoa ushirikiano?
 
"Kila nafsi itaonja mauti" (Surah Aal Imran 3:185)
Mkuu 'Malaria 2', wewe siku hizi ninakusoma tofauti kabisa na hao wengine; kama huyo hapo niliye ahidi kuweka jina lake. Naheshimu imani yoyote unayo iamini mradi tu haitakii maafa watu wengine wasiokuwa na imani kama yako.

Sina tatizo na hayo maneno manne hapo, kwa sababu huo ndio ukweli usiozuilika na yeyote bila kujali imani husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…