Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu

----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata kuelekea Ofisi za RCO Mbeya. Amenipigia akiwa Mikononi mwa Polisi. Tunawasiliana na Mawakili Soon.

UPDATES: Mdude aachiwa huru

Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika haya
Nimeachiwa muda huu bila masharti yoyote baada ya kuhojiwa na jeshi la polisi @tanpol kwa masaa zaidi ya matano kwa kile kilichodaiwa maandiko yangu yanazua taharuki katika jamii. Niseme kwamba mimi ni sauti ya watu na kamwe sitaacha kupaza sauti dhidi ya viongozi wanapoharibu.

mdude.png
 
Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
Huyu hajapewa asali ya maridhiano naona yeye na Heche ndio wanatumia Lissu yupo kwenye waiting list akilipwa tu na mikutano itakwisha

Tulimuonya raisi Samia kuwa hawa barvicha hawa bebeki akaleta upemba ona sasa

USSR
 
Police katika kipindi hiki cha Samia hawa trend. Wanatafuta Kick tu
 
Back
Top Bottom