Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Kwani Rais Magufuli kafufuka? Au chama cha wachaga watasema nani anahusika sahizi?
 
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)

Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.

Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.

Hiyo ndio post yake ya mwisho [emoji675]
Huyu alisema atanyoosha Samia kama alivyosema mnyoosha Magufuli.wacheni amnyooshe

USSR
 
Ametekwa au amekamatwa? Kama amekamatwa tutoe nafasi kwa MAMLAKA ilimkata itatoa taarifa....

Kuwa mwanaharakati haina maana you're exempted from observing the laws and rules of the Country....

Maswala ya kuanza campaign za free someone kabla ya kupata taarifa sahihi ni ULIMBUKENI
Naungana na wewe
 
Kwani yeye ni nani asikamatwe endapo atakuwa kutenda kosa?

Tatizo ni kama amekamatwa bila kosa!
 
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)

Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.

Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.

Hiyo ndio post yake ya mwisho [emoji675]

Unajua why ? Au mdude ni mkingiwa dhambi
 
Back
Top Bottom