PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Huyo hajakamatwa, bali kachukuliwa kwenda kuisaidia Polisi ili kusaidia kupatikana kwa haki ya huyo aliyewekwa ndani kwa kesi ya mauaji wakati hajaua.Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)
Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.
Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.
Hiyo ndio post yake ya mwisho ⏬