Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
Afadhali wamemkamata hawaja mteka. Na hatutegemei kuona wamemtesa badala yake watamfungulia mashtaka kwa mujibu wa tuhuma alizonazo.

Sheria za nchi bado ziko pale pale. Sisi wapenda haki tulikuwa tunapingana na uke utekaji, utesaji, na mauwaji.

Tunaunga mkono utekelezaji wa sheria za Nchi kwa kanuni zilizopo.
 
Nadhani swali la kuuliza kabla ya shutuma zozote ni Kwanini Amekamatwa ?

Hapo ndio taendelea kutia neno....
 
Kikosi cha kuteka na kutesa hakina nguvu tena.
Napenda iwe hivyo lakini mbona Jana gazeti la mwananchi limesema Kuna ndugu wanalia ndugu yao kutekwa? Wanasema siku ya 14 haonekani?
20230214_204424.jpg
 
Tuna.koerekeya chamacha mapiduzi tuta ki.choka. tunataka kahibamupya.tumika taa uwonevu dunataka katibamubya.
 
Kumbe kauli tu hiyo ndio imemkamatisha?

Kamanda Murilo aliongea kwa utani tu nadhani.

Lakini kiukweli Watanzania hawahitaji Lifti ya polisi wanahitaji kuona mifumo ya utendaji wa kipolisi ikiwa ya haki na kwa wakati.
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)

Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.

Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.

Hiyo ndio post yake ya mwisho ⏬
 
Back
Top Bottom