Taarifa ikufikie popote ulipo Usiku huu kwamba , Yule Mtu wa Mungu Mdude Nyagali , kada maarufu wa Chadema aliyeishinda serikali ya ccm Mahakamani , ameachiwa huru
Mdude alitekwa na Askari mamluki ambao bado wana akili za utesaji wa serikali Katili ya Magufuli , lakini kwa nguvu ya mitandao na hasa Mtandao wa JamiiForum , mamluki hao wameufyata na kumwachia huru .
Natoa Wito kwa Jeshi la Polisi na TISS kuondoa watu wote wenye akili za kinyama za awamu ya kishamba sana ya 5 .
Mungu ibariki Tanzania .
View attachment 2517817