SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Utalegea tuuu na utakoma kuleta lugha zako za Ukimbari...wewe utabaki kuwa Gaidi wa mtandaoniUtoto utakuisha tu lazima safari hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalegea tuuu na utakoma kuleta lugha zako za Ukimbari...wewe utabaki kuwa Gaidi wa mtandaoniUtoto utakuisha tu lazima safari hii.
Afande, niko mikononi mwa polis Afande
Utalegea tuuu na utakoma kuleta lugha zako za Ukimbari...wewe utabaki kuwa Gaidi wa mtandaoni
Samia alishasema kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja. Huyu atakuwa dikteta wa kizanzibari kutawala Tanganyika, watanganyika mpo?Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata kuelekea Ofisi za RCO Mbeya. Amenipigia akiwa Mikononi mwa Polisi. Tunawasiliana na Mawakili Soon.
UPDATES: Mdude aachiwa huru
Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika haya
Nimeachiwa muda huu bila masharti yoyote baada ya kuhojiwa na jeshi la polisi @tanpol kwa masaa zaidi ya matano kwa kile kilichodaiwa maandiko yangu yanazua taharuki katika jamii. Niseme kwamba mimi ni sauti ya watu na kamwe sitaacha kupaza sauti dhidi ya viongozi wanapoharibu.
View attachment 2517855
Viongozi walioingia madarakani kwa wizi wa kura hawafai kuheshimiwaJamani vijana wenzangu, tubadilike ifike sehemu, sisi kama vijana wasomi wa nchi hii tuwe chachu wa mabadiliko katika jamii yetu kiuchumi, kisiasa, n.k
Lakini pia niwashauri vijana wenzangu tusiwe kama huyu mdude, hana ustaratibu wala heshima kwa viongozi wa nchi hii hata kama hakubaliani nao kiitikadi, n.k, lakini haimanishi ndo utumie lugha isiyo na staha kwa viongozi.
Hata kama kuna walakini katika kuchaguliwa kwao katika nyadhifa hizo, katiba na sheri za nchi zinatutaka kuwaheshimu viongozi wetu.
Aina ya siasa anayofanya mdude, haikubaliki katika jamii iliyostarabika. Kutumia ubabe, nguvu na kupayuka payuka haikupi ruhusu kudharau viongozi wako, kwa kisingizio cha kuwasemea watu.
Kwanza mdude ana elimu gani au maarifa gani ya kuwa msemaji wa watu katika nchi hii au huko Mbeya anakotoka? Tuwe seriously vijana tuache cheap popularity haitatusaidia.
Kwa mfano kiongozi ganiViongozi walioingia madarakani kwa wizi wa kura hawafai kuheshimiwa
Aachiwa huru? Pigo kubwa kwa wazee wa legacy!!Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata kuelekea Ofisi za RCO Mbeya. Amenipigia akiwa Mikononi mwa Polisi. Tunawasiliana na Mawakili Soon.
UPDATES: Mdude aachiwa huru
Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika haya
Nimeachiwa muda huu bila masharti yoyote baada ya kuhojiwa na jeshi la polisi @tanpol kwa masaa zaidi ya matano kwa kile kilichodaiwa maandiko yangu yanazua taharuki katika jamii. Niseme kwamba mimi ni sauti ya watu na kamwe sitaacha kupaza sauti dhidi ya viongozi wanapoharibu.
View attachment 2517855
Hii ni fact. Mdude atumie akili kuna siku Chadema itamchoka. Kwani ukipiga nondo bila kashfa na matusi hueleweki?Jamani vijana wenzangu, tubadilike ifike sehemu, sisi kama vijana wasomi wa nchi hii tuwe chachu wa mabadiliko katika jamii yetu kiuchumi, kisiasa, n.k
Lakini pia niwashauri vijana wenzangu tusiwe kama huyu mdude, hana ustaratibu wala heshima kwa viongozi wa nchi hii hata kama hakubaliani nao kiitikadi, n.k, lakini haimanishi ndo utumie lugha isiyo na staha kwa viongozi.
Hata kama kuna walakini katika kuchaguliwa kwao katika nyadhifa hizo, katiba na sheri za nchi zinatutaka kuwaheshimu viongozi wetu.
Aina ya siasa anayofanya mdude, haikubaliki katika jamii iliyostarabika. Kutumia ubabe, nguvu na kupayuka payuka haikupi ruhusu kudharau viongozi wako, kwa kisingizio cha kuwasemea watu.
Kwanza mdude ana elimu gani au maarifa gani ya kuwa msemaji wa watu katika nchi hii au huko Mbeya anakotoka? Tuwe seriously vijana tuache cheap popularity haitatusaidia.
Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata kuelekea Ofisi za RCO Mbeya. Amenipigia akiwa Mikononi mwa Polisi. Tunawasiliana na Mawakili Soon.
UPDATES: Mdude aachiwa huru
Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika haya
Nimeachiwa muda huu bila masharti yoyote baada ya kuhojiwa na jeshi la polisi @tanpol kwa masaa zaidi ya matano kwa kile kilichodaiwa maandiko yangu yanazua taharuki katika jamii. Niseme kwamba mimi ni sauti ya watu na kamwe sitaacha kupaza sauti dhidi ya viongozi wanapoharibu.
View attachment 2517855Yamkini hao polisi ndio wamepata Taharuki!
Lissu anadai pesa yake aliyoporwa na waroho wa pesa, huenda walizipeleka China kuzificha.Huyu hajapewa asali ya maridhiano naona yeye na Heche ndio wanatumia Lissu yupo kwenye waiting list akilipwa tu na mikutano itakwisha
Tulimuonya raisi Samia kuwa hawa barvicha hawa bebeki akaleta upemba ona sasa
USSR
Tangu ulivyopigwa pu......u wewe umebaki unaweweseka.Hapana wampige pumb kwanza akija mtaani atulie
USSR
Alitukana wapi! Wewe ndiye unayependa sana kutukana.Maridhiano yalifikiwa kuacha matusi ya kuwatukana viongozi sasa mdude hamkumkanya
USSR
Sijanuna.Ameachiwa, je umenuna? 😃😃😃
Si mpo kwenye maridhiano na kupeana asaliViongozi wezi wa kura hawataki kutukanwa, kuna matusi zaidi ya wizi wa kura?
Furahia basi kamanda yupo huru kuendeleza mapambano! ✌️💪Sijanuna.