Tafuta mamluki wenzako huko, kaa pembeni kabisaaaa, usinitafute kibinafsi kama huwezi kujibu hoja....
utoto wangu uko wapi hapa. kwa hayo majibu chini???
Hayo yana uhusiano wa kivipi na mada ndugu yangu?Yote hayo unanisingizia ili iweje?
Waliojiteka wamerudi, waliojikimbiza wamerudi....na walitubu hawakuwa wakimbizi wa kisiasa...hayo ya pyu pyu pyu pyi anajua yeye Mkuu wenu na genge lake la mamluki. Magaidi wa Mtandaoni.
Kuna utoto gani hapo?
Naona toka nikuambie kuwa matamshi yako na maneno yako(lugha zako) yamejaa ukimbari, umeanza kunifuata fuata na wajinga wako wengine, mkishindwa hoja mnaanza kumshambulia mtu, mnaaanza kudeflect....niache wewe mzee tulia tuli, Usitake tuvunjiane Heshima hapa.... koma
Sasa kama unataka tujadiliane kwa hoja tuendelee, zaidi ya hapo wewe endelea na yako.
... ni kuhakikishie, Ukitema lugha za ukimbari nakula na wewe sahani moja kwa hoja.
...ukitema kejeli na mashambulizi kwangu(yaani personal attack) nakula na wewe sahani moja bila hoja.....
Sasa weka uzeee wako hapa nikupe za kitoto....Sikujui hunijui
Usijifanye unapoteza ufahamu au nipo mjinga kuona unajaribu kunidiskrediti.....yaaani ndio utanichafua zaidi nikuchafue.
Sijakaa hapa JF kwa miaka takriban 15 na yote hiyo, nisijue hulka za wanahudhuri wengi tu....nina mbinu nyingi za kujua 'multi frontal" "multi personal" plus systematic attack towards hoja, towards mwanahudhuri, na hata towards Jamii....siyo bahati mbaya signature yangu inasema Reducio Ad absurdum Usijitoe Ufahamu.
Amani