Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Ndio maana Famikia haijalia ndugu yao kukamatwa......ndio tofauti hiyo
Familia haijalia ndugu yao kukamatwa? Sijui sijakuelewa
Maana taarifa inasema familia inalia ndugu yao kutekwa, siku 14 hawajui yupo wapi. Wewe umesema kutekwa hakuna, mm ndio nikakuletea hiyo habari
 
Huyu mdude Hana nidhamu yoyote na hujui maana ya uhuru wa kujieleza!! Yeye ni matusi na kuropoka mambo...
Viongozi hawa hawa majizi ya kura? Ukitaka kuheshimiwa ingia madarakani kwa njia za heshima. Kilichotokea uchunguzi wa 2020 ni zaidi ya matusi.
 
Nadhani tukubari wabongo wengi ni watoto wa Ibilisi.

Hufurahi mtu yakimfika mabaya na huchukia mambo mazuri yakimfuata
 
Kibaya kutekana, kama ni polisi wamchukue tu, watakutana na Kibatala na Lissu mahakamani
 
Taarifa ikufikie popote ulipo Usiku huu kwamba, yule Mtu wa Mungu Mdude Nyagali, kada maarufu wa Chadema aliyeishinda serikali ya ccm Mahakamani ameachiwa huru

Mdude alitekwa na Askari mamluki ambao bado wana akili za utesaji wa serikali Katili ya Magufuli, lakini kwa nguvu ya mitandao na hasa Mtandao wa JamiiForums, mamluki hao wameufyata na kumwachia huru.

Natoa wito kwa Jeshi la Polisi na TISS kuondoa watu wote wenye akili za kinyama za awamu ya kishamba sana ya 5.

Mungu ibariki Tanzania.

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Taarifa ikufikie popote ulipo Usiku huu kwamba , Yule Mtu wa Mungu Mdude Nyagali , kada maarufu wa Chadema aliyeishinda serikali ya ccm Mahakamani , ameachiwa huru

Mdude alitekwa na Askari mamluki ambao bado wana akili za utesaji wa serikali Katili ya Magufuli , lakini kwa nguvu ya mitandao na hasa Mtandao wa JamiiForum , mamluki hao wameufyata na kumwachia huru .

Natoa Wito kwa Jeshi la Polisi na TISS kuondoa watu wote wenye akili za kinyama za awamu ya kishamba sana ya 5 .

Mungu ibariki Tanzania .

View attachment 2517817
Labda hili ndiyo limeleta shida
Screenshot_20230214-223327.jpg
 
Back
Top Bottom