Afadhali wamemkamata hawaja mteka. Na hatutegemei kuona wamemtesa badala yake watamfungulia mashtaka kwa mujibu wa tuhuma alizonazo.Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
Sheria za nchi bado ziko pale pale. Sisi wapenda haki tulikuwa tunapingana na uke utekaji, utesaji, na mauwaji.
Tunaunga mkono utekelezaji wa sheria za Nchi kwa kanuni zilizopo.