Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Huyo mdude hana analolijua kwenye siasa na kujenga hoja bila kutukana hawezi hivo bado atakamatwa sana as long anaropoka bila breki
 
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)

Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.

Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.

Hiyo ndio post yake ya mwisho ⏬
Vipi wameagizwa na Magufuli?
 
Akitoka na yeye atembee kuonyesha majeraha.

Labda nitawaonea huruma, lakini kura hampati.

Nasubiri yanayojiri
Tanzania hakuna kura, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Serikali iagize kamikaze drone za Iran nyingi kwa ajili ya kusimamia mikutano ya chadema
 
Huyo nae mzembe, si alishawahi kukamatwa kwa mtego wa malaya wa kike?
 
Huyu mdude Hana nidhamu yoyote na hujui maana ya uhuru wa kujieleza!! Yeye ni matusi na kuropoka mambo ambayo hata viongozi wake wakuu wa chama hawawezi kuthubutu kuyajadili yule ni Moko ! Aende akafundishwe nidhamu na uzalendo kuwaruhusu kufanya siasa haimaanishi mkavunje Sheria na kutukana viongozi shame!
 
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)

Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.

Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.

Hiyo ndio post yake ya mwisho [emoji675]
Raiya mwema huna haja ya kuogopa polici sababu ndio walinzi wa amani.

Tena nisalama ukiwa karibu na polisi maana hata muhalifu hawwzi kufanya madhara yoyote kirahisi.

Ngoja tuanze kuomba lifti Sasa, wakitupita tinampigia simu mkuu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania hakuna kura, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Nakusikia.
Huyo Mdude alikuwa akipiga kura ndio akamatwe?

CHADEMA mtasema mengi, mtasengenya, mtabeza...lakini mwisho wa siku hakuna atakaye wachagua.
 
Doa gani mbona mbowe alikamatwa na kuachiwa kwa maridhiano??
 
Back
Top Bottom