Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

👇
Screenshot_20230214-185454.jpg
 
Hapana wampige pumb kwanza akija mtaani atulie

USSR
kwa hiyo hao waarabu wa oman waliodhulumu mbuga zetu wampige pumbu? Maana mdude anapinga sana hao waarabu...we mwafrika mweusi una akili kweli?
 
Ametekwa au amekamatwa? Kama amekamatwa tutoe nafasi kwa MAMLAKA ilimkata itatoa taarifa....

Kuwa mwanaharakati haina maana you're exempted from observing the laws and rules of the Country....

Maswala ya kuanza campaign za free someone kabla ya kupata taarifa sahihi ni ULIMBUKENI
Sasa kwanini turudi enzi zaamekamatwa

Hayo mambo ya kutekana, tunayaona kama historia, ya utawala wa awamu ya 5
 
Polisi Mbeya wamemkamata Mpaluka Said Mdude Nyagali (@mdudechadematz)

Mdude Nyagali amekamatwa akiwa soko la Kabwe, alipigiwa simu na mtu aliyesema anahitaji kununua kitabu cha maisha ya Mdude.

Mdude alipokwenda kukutana naye, wakamkamata na wamekwenda naye ofisi za RCO-Mbeya.

Hiyo ndio post yake ya mwisho ⏬
 

Attachments

  • FB_IMG_1676390383630.jpg
    FB_IMG_1676390383630.jpg
    65.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom