Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

Duh kwakwel vituo vya afya ya akili viongozwe
serikali sikivu ya ccm, chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, itaendelea kujenga zahanati, vituo vya afya na hospitali za rufaa nchi nzima kadiri ya uchumi utakavyoendelea kuimarika na kunawiri. So, nyote mko accommodated gentleman
 
Hakika watz tunatakiwa kuamka kwa vitendo
 
serikali sikivu ya ccm, chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, itaendelea kujenga zahanati, vituo vya afya na hospitali za rufaa nchi nzima kadiri ya uchumi utakavyoendelea kuimarika na kunawiri. So, nyote mko accommodated gentleman
Nyie ni maadui wa haki na maendeleo ya taifa , mnashindwa kupambana kutafuta pesa halali kwa kazi na juhudi za kulijenga taifa mmegeuka machawa🤔 uzuri mmoja ujinga wenu humu hautafutika vizazi na vizazi gademiiit
 
serikali sikivu ya ccm,
ina mpango wa kuanza kujenga vituo vya msaada wa kisaikolojia na dhana potofu ambazo zinawaandama watu wa mamkundi mbalimbali ya kijamii nchini, na kwahivyo umefikiwa gentleman. kua mstahimilivu na uwe na subra pia.
haki yako ya msaada wa kisaikolojia utapata tu
 
Kwa hiyo kwa fikra zako unahisi naishi karatu kama wewe 🤔 nyie wajinga wajinga machawa wa humu tunawakaribisha sana CH
 
Nyie ni maadui wa haki na maendeleo ya taifa , mnashindwa kupambana kutafuta pesa halali kwa kazi na juhudi za kulijenga taifa mmegeuka machawa🤔 uzuri mmoja ujinga wenu humu hautafutika vizazi na vizazi gademiiit
endeleeni kuwa wanaharakati muendelee kufinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…