Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini

2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini

3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe

4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini

Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .

Nategemea wote wafanye kampeni za kistarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi
Z pattern ndio washindi.
 
Kwa hapo Mbeya kata tu, Wananchi wa mbeya kwa jinsi wanavyompenda sugu acha tu, Watu walipewa t shirts, kofia hadi pikipiki na tulia jackson ila kwenye ishu ya kupiga kura ni Sugu tu,,,,
 
Wanashinda wa sisiemu hapo.
 
Bila msaada wa DED,RC,DC,na vyombo vya ulinzi na usalama Ccm ni wepesi kuliko T/paper
 
1. Nabetia upande wa John Henche

2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )

3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)

4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
Ndivyo itakavyokuwa na huu ndio ukweli CCM wakibadilisha matokeo ya sehemu hizi hasa mbeya na Arusha damu inamwagika kwa Mara ya kwanza hapa nchini na Jiwe kaushaagiza wakurugenzi wa baadhi ya majimbo wasiwatangaze wapinzani kwa hiyo damu inaenda kumwagika mwaka huu kwa sababu ya mhutu.
 
Kwa hapo Mbeya kata tu, Wananchi wa mbeya kwa jinsi wanavyompenda sugu acha tu, Watu walipewa t shirts, kofia hadi pikipiki na tulia jackson ila kwenye ishu ya kupiga kura ni Sugu tu,,,,
Ukisema hapa Mbeya watu wa Mbeya wanampenda sana sugu bila kutaja kawafanyia nn watu wa Mbeya
Ni sawa na kuwadharau watu wa Mbeya
Siasa za mapenzi zipo katika vyama sio katika chaguzi
Box la kura linahitaji sera na utatuzi wa kero za wananchi
Kama wananchi watakuwa wanapenda tu watu bila sababu basi hao wananchi watakuwa ni vilaza
 
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini

2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini

3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe

4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini

Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .

Nategemea wote wafanye kampeni za kistarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi
PATAMU HAPO, TUKUTANE OKTOBA 28-2020
 
Kinachouma zaidi Gwajima ana madudu yote ya akina Mdee na chadema nzima!

Naona wqtu wanaongelea video, Gwajima hata kwenye siasa chafu anawaweza kuwashinda
Kinachomuuma Gwajima alishamnafikia hadi MAGUFULI 2015

akaja kumwambia makonda ni ZERO

kama haitoshi akatoa na video ya ngono akilimla mkia kondoo wake
 
Hakuna cha mechi kali hapo ni suala la free and fair election tu halafu ndio utapima ugumu na urahisi.

Ukitaka kujipima lazima uweke mazingira yaliyobalance kwa wote halafu ndio uache mtanange upigwe.
 
Kuna watabiri wengine wanatuzingua tu. Mtu yuko zake Uyole au Nyang’wale huko, hata Dar hajawahi kanyaga lakini yumo humu anakomaza misuli ya shingo kutuambia kitakachotokea Kawe.
 
Back
Top Bottom