Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

"Kinywani mwake ndiko tatizo lilipoanzia"
 
Ya kaisari mpe kaisari..membe asamehe kidini,lkni mamlaka ishatoa hukumu,Musiba aiheshimu...Na nyie sameheni wabakaji na wezi wasitumikie kifungon,.Shabash
 
Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.[emoji3064][emoji848]
...Mshana, Huyu ni Musiba ?? Ameyajuaje haya ??...[emoji848][emoji848]
 
Kama Musiba atashindwa kutunza hao wake zake wawili.
Mm natangaza rasmi kuwachukua na kuwatunza kwa chochote watakacho.
Acha sheria ichukue mkondo wake.

Membe funga macho na masikio.

Heshima iwepo wajameni.
 
Wakati anaropoka hakujua kama ana familia
Hahahha.. Kuna watu hufanya makosa mabaya just bcoz kuna uchochoro wa msamaha au familia sijui wake zangu sijui mtoto gani. Mimi ukinikosea ukakimbilia kuomba msamaha nitakusamehe ila matokeo lazma uyapate.

Huyu naskia mpk sekunde hii hajaomba hata msamaha. Ingawa angeomba isingekuwa rahsi kusamehewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna huruma nyingi sana za kufanya huku duniani, bora hata uchukue hela kwa msiba kama una huruma ukatumie hiyo huruma kwa Yatima.
 
Maamuzi ya Membe yaheshimiwe ,,kama matusi ya Musiba!!!
 
Hivi Kuna watu wanachukulia haya mambo serious. Hayo ma CCM yanafahamiana ni drama tu, na Hakuna chochote serious kitatokea.

Hivi lini mtaachwa kudanganywa na hawa watu wa "sisitimu".
 
Ndio mjue sasa wanaume wa kusini hatuna utani kazini.Acheni tumnyooshe huyo kima wa kikurya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…